innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 753
- Thread starter
- #101
Sema Leo ndio mara ya kwanza unagundua unasalitiwa! Ulikuwa hujui tu kwanza siku nyingi huyo.
Ndioo hvyoo mkuu CNAA jinsiii ss kwakuwa nimshagunduaa nikupigaa chinii tu
Sema Leo ndio mara ya kwanza unagundua unasalitiwa! Ulikuwa hujui tu kwanza siku nyingi huyo.
Mollel kutokana na Kabila lenu (Ukoo) kuchapiwa mke ni kisa kubwa sana / sasa huyo ni mchumba
Hebu tafuta wa Kabila lako anayejuwa maadili, haya makabila mengine hilo ni kitu la kawaida kabisa na utazalishiwa na kunyamaza.
Mimi nakushauri OA kwenu halafu siku ukikutana naye msamehe na endelea naye kwa Condom
Mimi yalishanikuta nikaachwa solemba kwa kebehi na huko alikoenda akaachika baada ya kuzalishwa, sasa amerudi na kachakaa kwelikweli nikamhoji ni kibamia changu alikikimbia? hana la kusema ala anaomba kurudiana nikamwambie nimeoa sasa ana adabu.
Huyo Bibie huko Hospitalini keshaachika na anajutia, kukusaliti DAWA vuta wa kwenu au mwenye tabia za kumuogoapa MUNGU
Wala usiumize kichwa mkuu. Mabinti wa siku hizi wana matatizo vichwani mwao, tamaa ya pesa na maisha mazuri imeijaza mioyo yao.
Jipange, boresha maisha yako tafuta pesa kwa nguvu zako zote na UKIMPATA DEMU BUTUA USUWEKEZE KWAKE.
Kwanza usikae peke yako kwa kipnd kama hiki..! Tafuta rafiki unaowaamini wenye kukufanya utende mambo mema,nenda places kama fukwe za bahari au reserved areas za kupumzikia, listern to music, play games kama ni mchezaji like soccer an others, usiwe alone muda mwingi..! Pray to the CREATOR akupe internal happiness and you will overcome the pain and torture that b...ch brought upon you
Aisee yasikie kwa mwingine, tulia pata muda wa kutafakari life utapata mwingine baadae
Hizo picha na video alizituma kupitia cm yako au vp ,maana sijaelewa hapo.
lingine ni kwamba,ni mara yako ya kwanza kuumizwa kwenye mahusiano ndiomana nafsi inakuuma sana,ila naamini siku maivu yatapokuja kuondoka utajiona shujaa sana na utakuwa mwalumu mzuri kwa wengine maana hakuna mtu ambaye hajawahi kukutana na mikasa ya kuumizwa ktk mapenzi.la msingi jaribu kuruhusu nafsi yako imsamehe hata kama haupo tayari kuwa naye kwa ss,kwani huwezi kujua ya mungu mengi,unaweza kuja kutana na mwingine ambaye atakuumiza na hatokuwa hata tayari kukupigia magoti na kuomba msamaha,hapo ndipo utakuja kumkumbuka huyu.kumbuka binadam hatujakamilika kutokana na curiousity zetu hivyo mtu akikosea na akiomba msamaha kwa dhati,basi hatu budi kujifunza kusamehe,kwani hata wewe unayetoa msamaha unarudisha afya na ustawi wa nafsi yako.
Habarin wakuu,
Daaaa janaa mpenzi wangu aliniaga anaendaa kuangaliaa kazi flani coz hii ya sasa mshaara haumtoshi nikamwambiaa poa.akaendaa ilaa nilimpaa mudaa yani mpaka saa saba awe amerudi akasemaa poaa akaendaa kazi yenyewee alikuwaa anaendaa kuangalia maeneo ya Mbezi.
Balivyoendaa tukawaa tunawasiliana na kuchat baada ya mudaa kidoogo akawa ajibu SMS nikampigiaa apatikanii nikajuaa labdaa simuu imemzinguaa chaji kidumee nikavungaa mpk jion nikawaa nimerudii hom nikakutaa hayupoo nikaingiaa ndanii nikatuliaa midaaa ya saa kumii na mbilii kizaa kimeshaanza penya akarudii nikamwambia polee kwa safari akajibuu poaa akaingia kuogaa then akajaa nilipokaa nikamuulizaa vipi job umefanikiwaa akajibuu ndio,
Ilaa naona ainaa maslai kama hii ninayofanyaa kwa sasa nikamuuliza kwa umeamuaje akaniambiaa ataendelea na hii anayofanya nikamwambiaa poaa .nikamuuliza tenaa mbona umechelewaa kurudi akaniambia daladala huko mvua ilikuwaa balaa hovyo Barabara haipitikii nikasemaa poa na pole yakaisha tukalala.
Mida ya saa saba nikashtuka usingizini nikakuta simu yako inaita nikamwamsha fulani simu yake inaita si kawaidaa simu yako kuita usiku kama huo akaangalia hiyo namba then akakata simi na akachomoa line yeye mwenyewe nakuivunja nikamuulizaa kwani vipi nani huyo akanijubuu achana naye nikatulia mtoto wa wawatu nukalala.
Sasa leo asubuhi kuamka nikaingia whatsapp yangu nikakuta pichaa= km 20 na video moja "picha na video si nzuri sana na kama x hivyo siwezi kuziweka"daa nusuuu nizime nilivyziona picha nikamwamsha kwa ustaarabu nikamuuliza janaa hii ndioo kazii uliyoenda kuomba akaangua kilio nakuanzaa kuomba msamaha hee kiukweli niliingia nikamkusanyia kila chake nikamwambia asepe.
Cha ajabu alizimiaa na kupotezaa fahamu nikampigia rafiki yake aje amchukue hivyo akampelekaa hospitalii sasa jioni hii nimetoka job rafiki yake kanipigia ananimbiaa huyo mpenzi wangu kalazwa nikamwambia awataarifu ndugu zake sio mimi, kiukwelii nimejifunza kitu kwenye haya mahusiano coz huyu demu kwenye maisha nimemsave mengi sana
Wana Jf nimekuja kwenu mniliwaze coz nipo mpweke sana na nimesema sinywii pombe eti kujidai napoteza mawazo wala nini nimeona ni share nanyi mnipe kampan katika kipindi hichii kigumu. Sipo tayari kumrudia hata dunia nzima imuombee msamaha. Kejeli sio nzuri kwani zitanifanya niumiee mara nyingi zaidi.
Nahitaji faraja nini nifanye
Asanteni
mkuu kwanza hembu badilisha kichwa cha habari sio siku ya kwanza kusalitiwa bali andika siku ya kwanza kujua kuwa nasalitiwa??.
mkuu yaani mpaka hapo yalipotokea hayo pole sana aiseee demu waku alikuwa anamegwa sana tuu.sema ww ulikuwa hufaham but now ndio umefaham pole sana hawa viumbe ni waajabu sana aiseee hata uwalundikie bunda la mahitaji lakini bado watataka kugongwa nje maana now imekuwa kama fashion flan hivi aiseee.
na hasa kuliwa ndogo ndio kamekuwa kamchezo kao aiseee.wengi wanatoka nje ili wakafanyiwe michezo ya ajabu ajabu
Kwa uandishi wako huo lazima akusaliti.
Kama kuandika hujui jee kuingiza utajua kweli?
Acha wakusaidie kulima maana naona wewe umeshakula mbegu.
Uandishi wako umekaa kike kike mno.
By the way,kuna demu mmoja humu huwa ni kiboko kwa kurekebisha lugha mbovu mbovu kama hizi,ngoja aje.
Cc FaizaFoxy
pole sana innocent mungu akupe utulivu na busara
Kwa uandishi wako huo lazima akusaliti.
Kama kuandika hujui jee kuingiza utajua kweli?
Acha wakusaidie kulima maana naona wewe umeshakula mbegu.
Uandishi wako umekaa kike kike mno.
By the way,kuna demu mmoja humu huwa ni kiboko kwa kurekebisha lugha mbovu mbovu kama hizi,ngoja aje.
Cc FaizaFoxy
Kabla ya kumtimua ungemsukuma kinyesi.:becky:
Daaaah wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa, yani wewe ni bogaz, hopless na useless, huwezi kusoma mazingira ya mtu yupo katika wakati gani? angeandika vizuri kiasi gani wakati yuko too emotional? wewe ndio umecomment kikike kike, wanaume wenzako kwani hatujayaona hayo uliyo ya bold? think dumb.
pole,lakini sio kwa uandishi huu au ndo kuchanganyikiwa?
Cjaelewa hapa ( kejelii c nzurii kwan zitanifanya niumiee maraa nyingi zaidii)ina maana uliwahi mkejeli mtu either huyo aliekuwa demu wako au huyo mshikaji alie piga mzigo..au jilani yk ilimkejeli hivyo hiyo ni km kisasi au naelewa vibaya?
Angalizo hakikisha picha na video unazifuta au kulock popote utakapoeka kikwete ameshasaini sheria ya mitandao
Pole sana mungu anakupenda simamia maamuzi yako