kinsman476
Member
- Jun 29, 2026
- 14
- 9
Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini.
Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja amesimama pembeni, anaonekana kama amepotea. Nikajiambia moyoni, Kinsman, leo English yako itapimwa.😂
Nikamsogelea nikamwambia, Hello, can I help you?
Akanitazama na kutabasamu, akasema, Yes, please. I’m looking for a good place to eat.
Nikaanza kumwelekeza, lakini ghafla akaniuliza, Are you from here?
Nikacheka nikamwambia, Yes, born and raised.
Akanishangaa akasema, Wow! You speak English very well.
Nikajisikia kama nimepata scholarship. 😂
Nikamuuliza, And you? Is this your first time here?
Akasema, “Yes.”
Nikamuangalia nikasema, “Then you need someone who knows this place.”
Akanicheka akaniuliza, Are you offering to be my guide?
Nikajibu, Maybe… if the price is right.😂
Akaanza kucheka sana.
Tukaendelea kuongea, tukatembea kidogo na kuanza kufahamiana. Kila swali aliloniuliza lilikuwa linanifanya nifikirie jibu zuri zaidi.
Baada ya muda akaniambia, You are actually very interesting.
Nikajiambia moyoni, Kinsman, usiharibu hii opportunity.😂
Lakini kabla sijamjibu, simu yangu ikaita.
Nikaangalia simu, nikamwangalia yeye, halafu nikasema, “Hii story bado ni ndefu sana. Ngoja niipumzishe hapa.
Tutaonana kesho, nitawaambia kilichotokea baada ya simu ile kupigwa... 👀🔥
Ngoja nipumzike kwanza. 😴