ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Awafai nduguu yaani n balaaaaa tupu
Usicheze na mwanamke bana usiinverst love wakati mwingine ni bora kuwa singo ukibanwa unaibuka kwenye kambi zetu zile unatulia.
Awafai nduguu yaani n balaaaaa tupu
Ww unazidi kumuumiza msela.Inaonekana jamaa alitoa kichapo cha nguvu akalala fofofo, maana inaonekana wewe ulikuwa unagusagusa tu wakati wa kugegeda, huyo jamaa alikuwa anasimamia kucha inaonekana daaaaaa!
Washa redio tafuta kipindi cha ala za roho au kuna kingine kinaitwa chombeza time watakuliwaza
Nitajaribuu japoo najuwaa sinaweza coz moyo umeumiaa Sana'a .ilaaa nimemsamehee akaishii life lakee hukoo lkn cntamsahau kwa aliyonitendeaa na Nina amin atajutaa Sana'a ukoo aendakoo coz hata marafiki zk walikuwa wanamsisitizia Sana'a km ana michepukoa aachane nayoo atuliee namii coz walikuwa wanajuaa jinsii ganii nilimpendaa mpk bac .semaa ndioo yy anamsingizia shetan
Habarini wakuu,
Dah jana mpenzi wangu aliniaga anaenda kuangalia kazi flani coz hii ya sasa mshaara haumtoshi nikamwambia poa.akaenda ilaa nilimpa muda yani mpaka saa saba awe amerudi akasema poa akaenda kazi yenyewe alikuwa anaenda kuangalia maeneo ya Mbezi.
Alivyoenda tukawa tunawasiliana na kuchat baada ya muda kidogo akawa ajibu SMS nikampigiaa apatikanii nikajuaa labda simu imemzingua chaji kidume nikavunga mpaka jioni nikawa nimerudi home nikakuta hayupo nikaingia ndani nikatulia mida ya saa kumii na mbilii kizaa kimeshaanza penya akarudi nikamwambia pole kwa safari akajibu poa akaingia kuoga then akaja nilipoka nikamuuliza vipi job umefanikiwa akajibu ndio,
Ilaa naona ainaa maslai kama hii ninayofanyaa kwa sasa nikamuuliza kwa umeamuaje akaniambiaa ataendelea na hii anayofanya nikamwambia poa .nikamuuliza tenaa mbona umechelewaa kurudi akaniambia daladala huko mvua ilikuwa balaa hovyo Barabara haipitikii nikasemaa poa na pole yakaisha tukalala.
Mida ya saa saba nikashtuka usingizini nikakuta simu yako inaita nikamwamsha fulani simu yake inaita si kawaidaa simu yako kuita usiku kama huo akaangalia hiyo namba then akakata simu na akachomoa line yeye mwenyewe nakuivunja nikamuuliza kwani vipi nani huyo akanijubu achana naye nikatulia mtoto wa wawatu nukalala.
Sasa leo asubuhi kuamka nikaingia whatsapp yangu nikakuta pichaa= km 20 na video moja "picha na video si nzuri sana na kama x hivyo siwezi kuziweka"daa nusu nizimie nilivyziona picha nikamwamsha kwa ustaarabu nikamuuliza jana hii ndio kazi uliyoenda kuomba akaangua kilio nakuanza kuomba msamaha, hee kiukweli niliingia nikamkusanyia kila chake nikamwambia asepe.
Cha ajabu alizimiaa na kupotezaa fahamu nikampigia rafiki yake aje amchukue hivyo akampelekaa hospitalii sasa jioni hii nimetoka job rafiki yake kanipigia ananimbia huyo mpenzi wangu kalazwa nikamwambia awataarifu ndugu zake sio mimi, kiukweli nimejifunza kitu kwenye haya mahusiano coz huyu demu kwenye maisha nimemsave mengi sana.
Wana Jf nimekuja kwenu mniliwaze coz nipo mpweke sana na nimesema sinywii pombe eti kujidai napoteza mawazo wala nini nimeona ni share nanyi mnipe kampani katika kipindi hichi kigumu. Sipo tayari kumrudia hata dunia nzima imuombee msamaha. Kejeli sio nzuri kwani zitanifanya niumiee mara nyingi zaidi.
Nahitaji faraja nini nifanye
Asanteni
sijaelewa tu hapo picha ulipozikuta kwenye whattsap yako. halafu laini yake si aliitoa kwenye simu na kuivunja usiku ule???
Mkuu nimesemaa kejelii sipendii coz humu ndan kuna watuu huwaa wanaletaa dharau juu madaa zawenzioo wanazoziwasilishaa humu
Utafikiri ndo mimi natendewa dah! pole sana piga Moyo konde nadhani hamjazaa watoto muache mara moja huyo, mtu anayekusaliti hafai mngekuwa na watoto ningebadirisha maoni. Pole sana huenda hata sisi tunaibiwa ila bado tupo gizani!!
Mwache, muache aende huyo janga huyo.
Pole sana kijana.
Kwenye mahusiano ya siku hizi hilo la kusalitiwa lipo, usiwaze sana acha maisha yaendelee.
Ila sijui nini kinakupa ujasiri wa kusema kuwa hiyo ni mara ya kwanza kusalitiwa?
Usicheze na mwanamke bana usiinverst love wakati mwingine ni bora kuwa singo ukibanwa unaibuka kwenye kambi zetu zile unatulia.
sijaelewa tu hapo picha ulipozikuta kwenye whattsap yako. halafu laini yake si aliitoa kwenye simu na kuivunja usiku ule???
Mkeo anaenda kutafuta kazi yenye maslahi zaidi ili akitunze? Wewe huwezi mtunza mkeo mpaka atangetange na njia kutafuta ajira? Ona sasa ametapeliwa na kazi hakuna.
Jipange kama wewe una ajira anzisha mradi mkeo akae hapo.
Na mwisho, huyo dada ulikuwa unaishi naye kama nani wako? Nani alihalalisha kitendo cha yeye cha kuja kuishi kwako?