Story za humu ukizitafakari utaishia kucheka tu.sasa huyo aliyekutumia hzo picha number yako alitoa wapi?
Washa redio tafuta kipindi cha ala za roho au kuna kingine kinaitwa chombeza time watakuliwaza
Ushindwe.huyo demu wa kumsahaulisha kwa kusafisha rungu hana moyo?
Mtu you are falling try not to drag others with you.....
Unless otherwise awe clear kabisa kwa huyo dada kua ye kazi yake ni kusafisha rungu tuu,otherwise stop creating more problemz.its not FAIR
Hapo ndipo wengi mnakosea,, hata kama mwanaume anaudhaifu sasa ndio iwe sababu ya kitoka nje? Kwann asingekaa naye ili waongee kama kuna madhaifu? Acheni kufuga mardhi
Kaka achana naye tulia wapo wadada wenye kujiheshimu sana tu wala usiwaze kabisa juu yake yeye siyo pumzi kwamba utashindwa kupumua songa mbele na maisha.
Hiyo inakuwa namna hii unapoanzisha Mahusiano na mtu jitahidi kujua Lengo lake itakusaidia mbele ya Safari Khs kupata namba ya huyo dogo sio ishu Manake wakati wanafanya yao,,,,mwenzio ataomba cm yako aangalie dzaini Ndio km lengo lake baya hapo namba ya cm ndio inapochukuliwa naww Utajua km imechukuliwa cku majanga km hayo yanapotokea mpaka hapo naamini umenielewa
Aiseee pole sana sijui ninhekuwa mimi ningefanyaje
Pole Innocent.kwaade naleng.ivi iyo jioni aliporudi kwako hukumuomba mfanye mapenzi...mlilala tu hadi cm yake ilipoita saa7??
Sema leo ndo siku ya kwanza Kugundua unasalitiwa. Umeshasalitiwa mara kibao.
Awafai nduguu yaani n balaaaaa tupu
Hey man. You can be better than that. Ngoma umeliwa ukalipiga chini sasa si utulie tu. Hakuna cha upweke hapo.
Nadhani ulifanya maamuzi ya haraka sana, maranyingi usikubali kuongozwa na hisia katika maamuzi ni muhimu kutumia hekima zaidi. Wanawake wengine wanachepuka kwasababu sisi wanaume ndo tunasababisha (Kuna sababu nyingi hapo) na wanaume tunachepuka kwasababu ya wanawake (ziko nyingi) sasa hapo ulitakiwa utulie, umfanye dada awe darasa lako ujue kilichopelekea yeye kufanya hivyo ili hata ukimtimua ujue namna ya kuwa salama huko mbeleni.
Hiyo ya yeye kulazwa ni filamu na isikupe taabu, wanawake wanajua namna ya kudeal na wanaume kupata huruma na njia moja wapo ni machozi na kujifanta kuumwa.
Umeshaamua so remain yourself
Lkn kumbuka msamaha ni silaha tosha.... Msamehe km Mungu anavyokusamehe amejifunza
Kusameheee atasemehewaa ilaa kurudianaa naye cntawezaa kamweee