Leo ndio siku ya kwanza kusalitiwa na nimpendae

Leo ndio siku ya kwanza kusalitiwa na nimpendae

Achana na mambo ya kwenda kumsikiliza, kwanza ili iweje?..we sio mtoto tena achana naye, na kinachoonekana hapo kwako mambo mazuri au una mipango mizuri ya maisha matamu siku za usoni kitu ambacho nakushauri kikazanie sana tena kwa nguvu zote, ungekuwa wa kawaida asingezimia huyo nakwambia, ETI HADI USHAHIDI WA PICHA NA VIDEO UPO, alafu mtu anasema ukamsikilize, mkuu ikiwezekana hamishia mapenzi yako kwenye PESA kama Mimi na kaka Kwamtoro..hawa viumbe wavaa sketi wana uelewa mdogo ka kitovu cha Mende..

Hakikaa kaka umeongeaa na ninachoshukuru mungu nimemuombaa nikubaliane na halii iliyotokeaa na nashukuru moyo umekuwaa na amani kbs japoo nilimpendaa Sana'a nimejiulizaa Sana'a kakosaa nn jaman mungu wangu daaaaaaaaa inaumaa sanaa
 
Kuna msemo usemao "ukisema mengine bakiza", hata kwenye mapenzi ni hivyo hivyo. Ila huyo mpz wako ungemuuguza na baadae kumpa nafasi ya kumsikiliza. Pengine waweza jifunza jambo kwa faida ya mbeleni.

Kwamba unaweza kujifunza jambo toka kwa mpenzio aliyekusaliti?u kent be serious mkuu.kwa mara ya kwanza nami nimejifunza jambo toka kwako kupitia jf.
 
Kuna washauri watakuja hapa na kukuambia msikilize ni mwenzio huyo. We komaa na msimamo wako hao viumbe hovyo kabisa halafu wakiharibu ndio wanatafuta huruma waonekane si wakosaji. Pia kila mtu ana style yake ya kukabiliana na jambo. Wewe ambaye mwepesi kusamehe endelea kusamehe lakini wale wenzangu na mimi bora lawama kuliko fedheha

Nitaanziaa wapii kumrudishaa kwangu mkuu yaani time nayee wala cnaaa na kumuonaa hataa sitaman
 
pole sana ndg hao wanyama cyo wema hata umchinjie kondoo bado utaonekana fara pole sana.Uamuz utakaouchukua ndyo huohuo utafaaa

Tayariii nimechukuaa uamuzii mkuu na namshukuruu munguu nimemuombaa anisaidiee ktk hilii
 
Kwamba unaweza kujifunza jambo toka kwa mpenzio aliyekusaliti?u kent be serious mkuu.kwa mara ya kwanza nami nimejifunza jambo toka kwako kupitia jf.

Hukuuu n kujifunzaa zaidi na zaidii nami nitajifunzaa ckuu moja kupitiaa kwakoo
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu yangu na nitaufanyia kazii wt na mungu akubarikii

pamoja na hayo matatizo yoote uliyatafta wewe iweje uishi na mwanamke bila ndoa? Alikuwa anaishi kwako kama nani?? Wanaume badilikeni mpenzi wako aje kwako siku moja tu na si kuweka makazi sasa ona kuna maumivu zaidi ya hayo???
 
Sema Leo ndio mara ya kwanza unagundua unasalitiwa! Ulikuwa hujui tu kwanza siku nyingi huyo.
 
Hukuuu n kujifunzaa zaidi na zaidii nami nitajifunzaa ckuu moja kupitiaa kwakoo
Mollel kutokana na Kabila lenu (Ukoo) kuchapiwa mke ni kisa kubwa sana / sasa huyo ni mchumba
Hebu tafuta wa Kabila lako anayejuwa maadili, haya makabila mengine hilo ni kitu la kawaida kabisa na utazalishiwa na kunyamaza.
Mimi nakushauri OA kwenu halafu siku ukikutana naye msamehe na endelea naye kwa Condom
Mimi yalishanikuta nikaachwa solemba kwa kebehi na huko alikoenda akaachika baada ya kuzalishwa, sasa amerudi na kachakaa kwelikweli nikamhoji ni kibamia changu alikikimbia? hana la kusema ala anaomba kurudiana nikamwambie nimeoa sasa ana adabu.
Huyo Bibie huko Hospitalini keshaachika na anajutia, kukusaliti DAWA vuta wa kwenu au mwenye tabia za kumuogoapa MUNGU
 
Wala usiumize kichwa mkuu. Mabinti wa siku hizi wana matatizo vichwani mwao, tamaa ya pesa na maisha mazuri imeijaza mioyo yao.
Jipange, boresha maisha yako tafuta pesa kwa nguvu zako zote na UKIMPATA DEMU BUTUA USUWEKEZE KWAKE.
 
Kwanza usikae peke yako kwa kipnd kama hiki..! Tafuta rafiki unaowaamini wenye kukufanya utende mambo mema,nenda places kama fukwe za bahari au reserved areas za kupumzikia, listern to music, play games kama ni mchezaji like soccer an others, usiwe alone muda mwingi..! Pray to the CREATOR akupe internal happiness and you will overcome the pain and torture that b...ch brought upon you
 
Aisee yasikie kwa mwingine, tulia pata muda wa kutafakari life utapata mwingine baadae
 
Hizo picha na video alizituma kupitia cm yako au vp ,maana sijaelewa hapo.

lingine ni kwamba,ni mara yako ya kwanza kuumizwa kwenye mahusiano ndiomana nafsi inakuuma sana,ila naamini siku maivu yatapokuja kuondoka utajiona shujaa sana na utakuwa mwalumu mzuri kwa wengine maana hakuna mtu ambaye hajawahi kukutana na mikasa ya kuumizwa ktk mapenzi.la msingi jaribu kuruhusu nafsi yako imsamehe hata kama haupo tayari kuwa naye kwa ss,kwani huwezi kujua ya mungu mengi,unaweza kuja kutana na mwingine ambaye atakuumiza na hatokuwa hata tayari kukupigia magoti na kuomba msamaha,hapo ndipo utakuja kumkumbuka huyu.kumbuka binadam hatujakamilika kutokana na curiousity zetu hivyo mtu akikosea na akiomba msamaha kwa dhati,basi hatu budi kujifunza kusamehe,kwani hata wewe unayetoa msamaha unarudisha afya na ustawi wa nafsi yako.
 
pamoja na hayo matatizo yoote uliyatafta wewe iweje uishi na mwanamke bila ndoa? Alikuwa anaishi kwako kama nani?? Wanaume badilikeni mpenzi wako aje kwako siku moja tu na si kuweka makazi sasa ona kuna maumivu zaidi ya hayo???

Wanawake cku hzii ukimfanyaa girlfriend tu na akishakuja kwako bac utashaa anaamishia nguo zake moja moja mpk unakujaa shtuka kaamishiaa vitu vyake vyote ss ukimwambiee awee analala kwao au kwake n ugomvii maraa atakwambia unamichepuko ndio maana utakii nilale kwako kilaa cku bac maneno mengiiiiiii mpk unabidii umwachee coz unampendaa ni km huyu wangu ndivyo ilivyokuwaa
 
Kwamba unaweza kujifunza jambo toka kwa mpenzio aliyekusaliti?u kent be serious mkuu.kwa mara ya kwanza nami nimejifunza jambo toka kwako kupitia jf.
alichokisema ni kweli mkuu..yaani huyo mwanamke atakapompa sababu za kumsaliti na hasa ikiwa ni mapungufu flani ya jamaa itamsaidia kutoyarudia tena huko mbeleni...
 
Back
Top Bottom