innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 753
- Thread starter
- #141
we jamaa niaje? eti nimekuja mniliwaze mnipe maneno ya faraja... kwaiyo unatupangia mpaka maneno ya kukwambia? acha ukuda wewe
N mtazamo wk .....
we jamaa niaje? eti nimekuja mniliwaze mnipe maneno ya faraja... kwaiyo unatupangia mpaka maneno ya kukwambia? acha ukuda wewe
Na mimi sijaelewa, lakini nahisi mchepuko ulichukuaga namba ya jamaa toka kwa mdada. Na usikute mchepuka umefanya kusudi ili jamaa aachie ngazi abaki yeye
Wewe Ni Muongo!
Pole sana kwenye kila kitu kuna kupata na kupotea. Ni bahati mbaya tu. Tunasema ajali kazini. Ingawa mapenzi yanauma sana lakini yatapoa na kwisha. Kumbuka Maua hunyauka, story huisha na kumbukmbuku usahaulika kila kitu kinapita. Msamehe saba mara sabini.
Ndio ukubwa huo...
mara ya kwanza??....umejuaje kama ni mara ya kwanza kusalitiwa?? sema mara ya kwanza kugundua....
Pole mkuu, mshukuru Mungu umejua kabla hujafunga naye ndoa na kuzaa naye. Tulia tu usiwaze sana ingawa najua linaumiza sana, utakuja mpata mwaminifu - ingawa wako wachache sana, na wanapatikana kwa kumulika na tochi
Asantee mkuuu basii tusemee maraa ya Kwanzaa kugunduaaa
ok, usijali. Relax, it is not the end of the world! hizo ni challenges ambazo huna budi kuzipitia ili utakapopata mtoto wa kiume....ujue namna ya kumtahadharisha, na kumshauri yatakapomkuta. Nikuhakikishie, wanawake wema wapo...wengi tu! just relax utampata atakayekusahaulisha yote! Ila kama na wewe huko nyuma uliwahi kuumiza mtu....tubu, ona kama Mungu anakupa fundisho ili uone inaumaje ili usirudie. Barikiwa
The world is always unfair(law of jungle) remember woman can fake love but man can fake the whole relationship
Habarini wakuu,
Dah jana mpenzi wangu aliniaga anaenda kuangalia kazi flani coz hii ya sasa mshaara haumtoshi nikamwambia poa.akaenda ilaa nilimpa muda yani mpaka saa saba awe amerudi akasema poa akaenda kazi yenyewe alikuwa anaenda kuangalia maeneo ya Mbezi.
Alivyoenda tukawa tunawasiliana na kuchat baada ya muda kidogo akawa ajibu SMS nikampigiaa apatikanii nikajuaa labda simu imemzingua chaji kidume nikavunga mpaka jioni nikawa nimerudi home nikakuta hayupo nikaingia ndani nikatulia mida ya saa kumii na mbilii kizaa kimeshaanza penya akarudi nikamwambia pole kwa safari akajibu poa akaingia kuoga then akaja nilipoka nikamuuliza vipi job umefanikiwa akajibu ndio,
Ilaa naona ainaa maslai kama hii ninayofanyaa kwa sasa nikamuuliza kwa umeamuaje akaniambiaa ataendelea na hii anayofanya nikamwambia poa .nikamuuliza tenaa mbona umechelewaa kurudi akaniambia daladala huko mvua ilikuwa balaa hovyo Barabara haipitikii nikasemaa poa na pole yakaisha tukalala.
Mida ya saa saba nikashtuka usingizini nikakuta simu yako inaita nikamwamsha fulani simu yake inaita si kawaidaa simu yako kuita usiku kama huo akaangalia hiyo namba then akakata simu na akachomoa line yeye mwenyewe nakuivunja nikamuuliza kwani vipi nani huyo akanijubu achana naye nikatulia mtoto wa wawatu nukalala.
Sasa leo asubuhi kuamka nikaingia whatsapp yangu nikakuta pichaa= km 20 na video moja "picha na video si nzuri sana na kama x hivyo siwezi kuziweka"daa nusu nizimie nilivyziona picha nikamwamsha kwa ustaarabu nikamuuliza jana hii ndio kazi uliyoenda kuomba akaangua kilio nakuanza kuomba msamaha, hee kiukweli niliingia nikamkusanyia kila chake nikamwambia asepe.
Cha ajabu alizimiaa na kupotezaa fahamu nikampigia rafiki yake aje amchukue hivyo akampelekaa hospitalii sasa jioni hii nimetoka job rafiki yake kanipigia ananimbia huyo mpenzi wangu kalazwa nikamwambia awataarifu ndugu zake sio mimi, kiukweli nimejifunza kitu kwenye haya mahusiano coz huyu demu kwenye maisha nimemsave mengi sana.
Wana Jf nimekuja kwenu mniliwaze coz nipo mpweke sana na nimesema sinywii pombe eti kujidai napoteza mawazo wala nini nimeona ni share nanyi mnipe kampani katika kipindi hichi kigumu. Sipo tayari kumrudia hata dunia nzima imuombee msamaha. Kejeli sio nzuri kwani zitanifanya niumiee mara nyingi zaidi.
Nahitaji faraja nini nifanye
Asanteni

Ukiludiana nae jiandae kutombewa sana huyo aliaza kuchito zmn tuu tafuta mwingine. Huyo atakuua na ukimwi ukiwa mbishi
thread zingine nikisoma nashikwa na hasira
Sio siku ya kwanza kusalitiwa, ni siku ya kwanza kujua kuwa umesalitiwa.
Pole sana kaka.