Leo ndio siku ya kwanza kusalitiwa na nimpendae

Leo ndio siku ya kwanza kusalitiwa na nimpendae

leo sio siku ya kwanza kazoea ndo mchezo wake 40 zimefika wee ndo ukagundua,go ahead.,
 
don't be strict bro ,,,,kakosa ok but try to listen what people say,,,,,,kuwa na msimamo hutamrudia hata dunia nzima iseme in fact i failed to understand what kind of advice you need from us,,,,as i know there is try&error ,,,,forgive your lovely wife+fiancee maisha tu haya ,,,,,
 
innocentmollel


Ilikuaje picha kuingia kwenye wasap yako? Anyway, mi mwenyewe nimetendwa juzi tu nashukuru niko gado. Mtu anaekuja kwako is either a lesson or blessings. Chapa lapa mwanangu achana nae shikilia uamuz huo. Concentrate na kazi ikiwezekana jipe ova time ili ukirudi hom tu usiwe na mda mwingi wa kupoteza.
 
Last edited by a moderator:
innocentmollel

Ila nimekukubari kwa quickly response yani nawaza hyo akiri ya kuingia whatsup kwa namba yake kwa haraka hvyo uliitoa wapi
Ila all in all achana kabisa na huyo ibilisi hata kama wakikuambia anakaribia kufa huko hospital ucjali ndo adhabu yake hyo kudadadeki zake.
 
Last edited by a moderator:
Asanten cpoo tayarii kumrudia hataaa dunia nzima imuombe msamahaa.kejelii c nzurii kwan zitanifanya niumiee maraa nyingi zaidii NAITAJI FARAJA NA NINI NIFANYEE[/QUOTE]
Cjaelewa hapa ( kejelii c nzurii kwan zitanifanya niumiee maraa nyingi zaidii)ina maana uliwahi mkejeli mtu either huyo aliekuwa demu wako au huyo mshikaji alie piga mzigo..au jilani yk ilimkejeli hivyo hiyo ni km kisasi au naelewa vibaya?
Angalizo hakikisha picha na video unazifuta au kulock popote utakapoeka kikwete ameshasaini sheria ya mitandao
Pole sana mungu anakupenda simamia maamuzi yako
 
Kumegewa kuckiea tu , mi nina mchepuko ni mzr kinoma ana kazi nzr mara tatu kwa yangu na mshahara mi mara mbili lkn kitu nimeona kwake wiki hii cna ham na hao viumbe kanifanya nijiulize sn , pamoja na kwamba yeye ana kazi nzr zaidi yangu lkn matumizi ya chakula ni.juu yangu kuna juzi nimeenda kwake akajifanya kachoka sn na ana ucngizi nikamwacha alale nikaenda zangu hm, asbh kila ck huwa naenda kumcheki kabla haenda kazn , dah nikaona shingo imejaa lovebait dah hata ham nae cna nataka nikae mbali nae maana mmmmmmmmm

Awafai nduguu yaani n balaaaaa tupu
 
Ilikuaje picha kuingia kwenye wasap yako? Anyway, mi mwenyewe nimetendwa juzi tu nashukuru niko gado. Mtu anaekuja kwako is either a lesson or blessings. Chapa lapa mwanangu achana nae shikilia uamuz huo. Concentrate na kazi ikiwezekana jipe ova time ili ukirudi hom tu usiwe na mda mwingi wa kupoteza.

Naonaaa nambaaa jamaa alichukuaa kwenye cm ya huyu dem.mkuu mm km ww nimeamua kusongaa mbelee nakusongaa mbelee
 
Ila nimekukubari kwa quickly response yani nawaza hyo akiri ya kuingia whatsup kwa namba yake kwa haraka hvyo uliitoa wapi
Ila all in all achana kabisa na huyo ibilisi hata kama wakikuambia anakaribia kufa huko hospital ucjali ndo adhabu yake hyo kudadadeki zake.

Nimeamu kufanyaaa hvyo hataa akifaaa sidhan km nitaudhuliaa msibaa wakee
 
Tafuta demu kabisa uwe unaosha rungu na kujiriwadha ili umsahau fasta

Ushindwe.huyo demu wa kumsahaulisha kwa kusafisha rungu hana moyo?
Mtu you are falling try not to drag others with you.....
Unless otherwise awe clear kabisa kwa huyo dada kua ye kazi yake ni kusafisha rungu tuu,otherwise stop creating more problemz.its not FAIR
 
Asanten cpoo tayarii kumrudia hataaa dunia nzima imuombe msamahaa.kejelii c nzurii kwan zitanifanya niumiee maraa nyingi zaidii NAITAJI FARAJA NA NINI NIFANYEE
Cjaelewa hapa ( kejelii c nzurii kwan zitanifanya niumiee maraa nyingi zaidii)ina maana uliwahi mkejeli mtu either huyo aliekuwa demu wako au huyo mshikaji alie piga mzigo..au jilani yk ilimkejeli hivyo hiyo ni km kisasi au naelewa vibaya?
Angalizo hakikisha picha na video unazifuta au kulock popote utakapoeka kikwete ameshasaini sheria ya mitandao
Pole sana mungu anakupenda simamia maamuzi yako[/QUOTE]

Mkuu nimesemaa kejelii sipendii coz humu ndan kuna watuu huwaa wanaletaa dharau juu madaa zawenzioo wanazoziwasilishaa humu
 
Ushindwe.huyo demu wa kumsahaulisha kwa kusafisha rungu hana moyo?
Mtu you are falling try not to drag others with you.....
Unless otherwise awe clear kabisa kwa huyo dada kua ye kazi yake ni kusafisha rungu tuu,otherwise stop creating more problemz.its not FAIR

Siweziii oshaaa runguu kwa ss walaaa kuutesaa moyo wa MTU kwa. Ss nppoo nime relax
 
Ndio kakutenda lakini hujajua kwanini kafanya hivyo. Pengine wewe umechangia yeye kufanya hivyo au una tatizo ambalo wewe hujalijua. Ndio maana nikakushauri umsikilize. Kumsikiliza ni tofauti na kumrudia.

Hapo ndipo wengi mnakosea,, hata kama mwanaume anaudhaifu sasa ndio iwe sababu ya kitoka nje? Kwann asingekaa naye ili waongee kama kuna madhaifu? Acheni kufuga mardhi
 
Back
Top Bottom