innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 753
Habarini wakuu,
Dah jana mpenzi wangu aliniaga anaenda kuangalia kazi flani coz hii ya sasa mshaara haumtoshi nikamwambia poa.akaenda ilaa nilimpa muda yani mpaka saa saba awe amerudi akasema poa akaenda kazi yenyewe alikuwa anaenda kuangalia maeneo ya Mbezi.
Alivyoenda tukawa tunawasiliana na kuchat baada ya muda kidogo akawa ajibu SMS nikampigiaa apatikanii nikajuaa labda simu imemzingua chaji kidume nikavunga mpaka jioni nikawa nimerudi home nikakuta hayupo nikaingia ndani nikatulia mida ya saa kumii na mbilii kizaa kimeshaanza penya akarudi nikamwambia pole kwa safari akajibu poa akaingia kuoga then akaja nilipoka nikamuuliza vipi job umefanikiwa akajibu ndio,
Ilaa naona ainaa maslai kama hii ninayofanyaa kwa sasa nikamuuliza kwa umeamuaje akaniambiaa ataendelea na hii anayofanya nikamwambia poa .nikamuuliza tenaa mbona umechelewaa kurudi akaniambia daladala huko mvua ilikuwa balaa hovyo Barabara haipitikii nikasemaa poa na pole yakaisha tukalala.
Mida ya saa saba nikashtuka usingizini nikakuta simu yako inaita nikamwamsha fulani simu yake inaita si kawaidaa simu yako kuita usiku kama huo akaangalia hiyo namba then akakata simu na akachomoa line yeye mwenyewe nakuivunja nikamuuliza kwani vipi nani huyo akanijubu achana naye nikatulia mtoto wa wawatu nukalala.
Sasa leo asubuhi kuamka nikaingia whatsapp yangu nikakuta pichaa= km 20 na video moja "picha na video si nzuri sana na kama x hivyo siwezi kuziweka"daa nusu nizimie nilivyziona picha nikamwamsha kwa ustaarabu nikamuuliza jana hii ndio kazi uliyoenda kuomba akaangua kilio nakuanza kuomba msamaha, hee kiukweli niliingia nikamkusanyia kila chake nikamwambia asepe.
Cha ajabu alizimiaa na kupotezaa fahamu nikampigia rafiki yake aje amchukue hivyo akampelekaa hospitalii sasa jioni hii nimetoka job rafiki yake kanipigia ananimbia huyo mpenzi wangu kalazwa nikamwambia awataarifu ndugu zake sio mimi, kiukweli nimejifunza kitu kwenye haya mahusiano coz huyu demu kwenye maisha nimemsave mengi sana.
Wana Jf nimekuja kwenu mniliwaze coz nipo mpweke sana na nimesema sinywii pombe eti kujidai napoteza mawazo wala nini nimeona ni share nanyi mnipe kampani katika kipindi hichi kigumu. Sipo tayari kumrudia hata dunia nzima imuombee msamaha. Kejeli sio nzuri kwani zitanifanya niumiee mara nyingi zaidi.
Nahitaji faraja nini nifanye
Asanteni