Kama hamna kazi zingine ulitaka bodaboda wafanyaje?
..swali la kujiuliza ni kwanini hakuna ajira nchini na kulazimisha vijana wetu waendeshe bodaboda?
..ongezeko kubwa la bodaboda na wamachinga ni ushahidi kwamba sera za uchumi na ajira za Ccm ni mbaya.
..Lema amesema ukweli, ila tatizo liko ktk lugha aliyowasilisha hoja yake.
..Kama tunaitakia mema nchi yetu na haswa vijana wetu basi tujadili tatizo lao bila kujali lugha aliyoitumia Lema ktk uwasilishaji.