Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti
Usikivu wa kenge ni hadi pale ubongo utakavyochungulia nje ya fuvu la kichwa chake🏃.
 
Kesi hii isifutwe ili CCM na Serikali yake dhalim izidi kuwekwa uchi ili iwe fundisho Kwa wote
 
kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
Wanaweza kuwa wanazo akili lakini zimeshikiliwa na mtu au kikundi cha watu wengine bila wao kujua au wanajua. Tuzidi kumuomba Mungu mwenye haki ,kama mbowe na kundi lake walikusudia kuyatenda maovu haya basi wapate malipo yao kwa haki ile wasitahilio. Lakini kama ni mashitaka ya uongo kama waluvyoshtakiwa wakina Petro basi haki ya Mungu isimame upande wao. Hilo tu.
 
kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
Unaamini kuna ushahidi?
 
Shahidi anakwenda wa nusu Sasa, na ushahidi haunyooki zaidi ya aibu na kudhalilisha mahakama kwa kuishirikisha kwenye siasa chafu! Uza ubongo huo boss maana unakaa nao kwa hasara.
 
kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
Hawana akili
 
kituko cha leo shahidi wa jamuhuri amefumaniwa na desa kizimbani aliloandikiwa na mawakili wa jamuhuri kwasababu ameshindwa kukariri ushahidi wa uongo aliofundishwa.
My friend, amini usiamini hiyo sio kweli. kwenye izo mishe, shahidi ukimfundisha lazima ataboronga tu kwenye cross examination. ambacho huwa kinafanyika kwa hao jamaa ni kumkumbusha tu yale aliyoongea polisi as per his witness statement n.k, ila ukimfundisha mambo mapya anawez akupigwa swali la ajabu akakosa nafasi ya kuja kwako kuuliza jibu kwasababu taayari yupo kizimbani, na ataharibu kesi yote, hivyo ilo jambo huwa halifanyiki, labda kama hakuan wakili wa utetezi. nimekuwepo huko kwenye prosecution zamani, kuna siku utakuja kuelewa, ila sio leo.
 
kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
Kama walivyong'ang'ana na kesi ya rugemalira hadi wakaamua kunyoosha mikono au walivyong'ang'ana na kesi ya mhasibu wa takukuru nayo wamenyoosha mikono
 
Tofautisha awamu ile na awamu ya samia. ukifanikiwa hilo utakuja kunishukuru.
 
YAANI UNAJIDANGANYA NI WAPI WANAJICHANGANYA HAO MASHAHIDI JUWA KUULIZWA SWALI AMBALO HUKULITEGEMEA INATAKA MOYOSANA NA WANAJITAHIDI KUYAJIBU LAKINI HUO UBABAISHAJI WANAOTUMIA KINA KIBATALA WAKILI ASIYE NA ELIMU YA KUTOSHA HAKISAIDII KINACHO MATTER NI ALICHOKISEMA TU JE KINA UHALISIA NA UKIANGALIA MASHAHIDI WANATOA USHAHIDI KONKIIII MBOWE JELA MIAKA 60
Wacha chadema waendelee kujifariji.
 
humjui kibatala. unamwona tu kwenye mitandao. sio wakili mzuri kama unavyofikiri. nasema hivi wazi kwasababu ndiye atakayemponza mbowe. mngefanya uchaguzi sahihi kwa mawakili mbona wapo wengi tu na wazoefu? labda kwasababu na yeye ni mwanachadema mwenzenu mliogopa kuzungukwa.
Shahidi kafumaniwa na desa kizimbani waliongeleaje hili
 
Back
Top Bottom