Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke.

Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi wanaenda na ni wapi wametoka, maaafisa wa mahakama nao inaonekana wameingia kwenye mambo haya. Yaani mambo ni shaghala baghala.Mbaya zaidi nao wamekutana na mawakili wa upande wa Utetezi nao wako makini sana na hii ndiyo shida inayowapata.

Mhe DPP bado unayo nafasi ya kutosha kuliepushia taifa letu na aibu inayoendelea sasa mahakamani. Ukisema usubiri mpaka mwisho huenda mambo yakaharibika zaidi.
Bibi ushungi kaelekeza hivyo
 
Kila kesi tu kujichanganya ni kawaida inategemeana mashahidi wanauelewa kiasi gani! Wapo mashahidi wanaoweza kushuhudia tukio mojakwamoja lakin wanapofika kizimbani kila point inapotea! Kwa hiyo usishangae kuona hayo hivi sasa
 
Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke.

Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi wanaenda na ni wapi wametoka, maaafisa wa mahakama nao inaonekana wameingia kwenye mambo haya. Yaani mambo ni shaghala baghala.Mbaya zaidi nao wamekutana na mawakili wa upande wa Utetezi nao wako makini sana na hii ndiyo shida inayowapata.

Mhe DPP bado unayo nafasi ya kutosha kuliepushia taifa letu na aibu inayoendelea sasa mahakamani. Ukisema usubiri mpaka mwisho huenda mambo yakaharibika zaidi.
Kwa uandishi huu hujawahi kuwa wakili.
 
Wacha ifike mwisho tuone
 
Hii nchi ukiwa Shuleni utafundishwa vitu kulingana na misingi ilivyo sasa maliza shule uje uwe mtumishi wa sirikali ndio utajua kuwa elimu uliyosoma sharti uiweke kapuni kwa maslahi ya sirikali. Hivi umeshawahi jiuliza hata hawa trafiki wanapokuwa kazini kuongoza magari kwa mujibu wa sheria halafu anatokea kiongoz sijui anawahi wapi huko yawezakuwa hata ni guest labda lakini anakuja pita tu kwenye mataa trafiki akimsimamisha anaambiwa "hivi unanijua me ni nani"..... Hivi unaipenda kazi YAKO .... Trafki ananywea

Hata hawa mawakili & majaji wa court yawezekana ni hivyo hivyo wanapitia.

Ndio maana mimi nishasemaga wenzetu wazungu wametuacha mbali sana kwenye haya mambo. Bado tuna safari ndefu sanaaa.
 
na kati ya mawakili waliofeli kuwaajili, kibatala. kwanza hanaga hekima na professionalism ya sheria, ana hasira na analeta siasa tu. anawadanganya wengi ambao hawajui sheria na procedure za mahakamani kwa mambo ambayo hayaamui kesi na ndiyo wanayomshangilia nayo. subiri kesi iishe, si lazima itarushwa humu judgment yake.
Jaji kila siku anaghairisha kesi kwasbabu ya huyo unaesema hanalolote.

Wewe sheria unaijua?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi wanaenda na ni wapi wametoka, maaafisa wa mahakama nao inaonekana wameingia kwenye mambo haya.
ni kweli mkuu, hii kesi haina mashiko - ni kutumia kodi za walahoi na usumbufu kwa mambo ambayo hayana tija kwa taifa. Yaani CCM mmeiba kura mchana kweupe - watu wakabakia kimya - kama haitoshi tisa kumi mkaona bila kumfunga mwenyekiti wa chama kikubwa na upinzani hamtakuwa mmefaidi.

Sasa ushauri ni mwepesi kabisa ni kwamba hii kesi haitawafikisha pale mnapotaka zaidi ya kupata aibu na kuchekwa na mataifa.
 
Yaani kwa ushahidi uliotolewa mpaka leo inatakiwa mbowe aachiwe tu maana mashahidi wanaelezea ukamataji tu badala ya huo ugaidi
 
Na kati ya mawakili waliofeli kuwaajili, kibatala. kwanza hanaga hekima na professionalism ya sheria, ana hasira na analeta siasa tu. anawadanganya wengi ambao hawajui sheria na procedure za mahakamani kwa mambo ambayo hayaamui kesi na ndiyo wanayomshangilia nayo. subiri kesi iishe, si lazima itarushwa humu judgment yake.
Kweni ungeficha ujinga wako,ungeathirika na nini?
 
Chenye nguvu pekee cha kumfunga Mbowe ni Kauli ya Mama alpohojiwa na BBC. Hakukuwa na haja ya kuja na hawa mashahidi wezi wa nyaraka za mahakama. Wangetumia tu hiyo kauli ya Mama kumfunga Mbowe, basi tungeelewa kuwa kafungwa kwa amri ya Mkubwa wa kaya yetu
Kweli ingepunguza gharama za uendeshaji wa hii kesi.
 
Kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
Hivi ulikuwa "marehemu" Mbowe alipofungwa kwa kesi ya Akwilina? Ulisimuliwa mahakama ya Rufaa ilisema nini? Au ile kesi haikufika kwa DPP?
 
Kwa akili yako unaamini angekuwa hajafuta hadi leo kama mfukoni hawana ushahidi, ushahidi bado unaletwa. kesi hii ina macho hadi ya nchi za nje, wangeona ni ya kijinga wala wasingeendelea nayo, ukiona wameng'ang'ana, omba tu Mungu asamehe mwenyekiti, jua kuna ukweli na ushahidi upo. hivi unafikiri huyo dpp na timu yake yoote hawana akili? na hiyo ni kesi yao ya kwanza kufungua hapa nchin?
Unapaswa kuongea na facts vile vile kwani hizo kesi nyingine za dpp ni sawa na hii au nyege za makalio tu
 
Back
Top Bottom