Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,804
- 110,034
atakuwa hakujui huyo.
kuna mwenzake kama yeye nimemwacha analea busha sasa baada ya kuleta fujo ka hizi...
atakuwa hakujui huyo.
pacha Lady doctor
tumfanyie kweli huyu
muulize ana mashiko?
kwa kusema ukweli! nakukubali mpenzi wangu..
Hahahahahahaha
Mbona mnamtisha mwenzenu mwacheni ajaribu bahati yake
kijana unamfahamu tajiri,bilionea wa arusha arushaone?kwa taarifa yako arushaone ndiye mume wa lady doctor,kuna tetesi kuwa kuna kijana alikutwa anapita tu jirani na nyumba yao ya mbezi baadaye kesho yake alikutwa amekufa mwili wake ukionekana kama umemwagiwa tindikali!
Mkuu Lady doctor mweyewe ndio anakuponda... Anasema unakula tambuu sana na mirungi, pia unadai wewe ni mchovu na wabaridi...
Anajua nampenda na yeye ananipenda pia... Pls tuache tupeane raha usituingilie kwenye mapenz yetu mapya... wewe endelea kula mirungi na kuvuta kitu cha Arusha...
Acha kupanic bana,ile kitu ni barabara ya lami gari likipita haliachi alama,isitoshe mhusika kasema ngoja asome waraka vizuri halafu wewe unaanza kuchimba mkwara,kha!
MD25 komaa mwanawane ukute ladydoctor kachoka ugali maharage kila siku anatamani biriyani.
Kumbe nyie ni mapacha ehee Passion Lady na Lady doctor!Nilikuwa nawachanganya unajua,ngoja nitamuuliza vizuri mdogo wangu Heaven on earth
kaka angu hao ni mapacha..........
unapenda upambe weye
i LOVE you!!!!!