Lady doctor naomba tuwe wapenzi

Lady doctor naomba tuwe wapenzi

yaani my sister Lady doctor of all people huyo YAHAYA aka Bishanga ndo umeona ananifaa kumcheat mume wangu

my dear kiwatengu mi nje akunihusu kabisa tupo pamoja
 
Last edited by a moderator:
Acha kupanic bana,ile kitu ni barabara ya lami gari likipita haliachi alama,isitoshe mhusika kasema ngoja asome waraka vizuri halafu wewe unaanza kuchimba mkwara,kha!
MD25 komaa mwanawane ukute ladydoctor kachoka ugali maharage kila siku anatamani biriyani.

Mkuu.. Mpenzi wangu Lady doctor amechoka Arushaone kwa tabia yake ya ulevi na uvutaji bangi na mirungi... Kuna siku nilikuwa naongea nae Ladydoctor kwenye simu, hadi ikafika moment akaanza kulia, kutokana na tabia ya ulevi na kula mirungi+bangi...

In short Lady doctor tumeshafika mbali sana kwenye maswala yetu ya mapenzi, kwa kweli TUNAPENDANA SANA.... WE ARE IN STRONG RELATIONSHIP.....
 
Mkuu Lady doctor mweyewe ndio anakuponda... Anasema unakula tambuu sana na mirungi, pia unadai wewe ni mchovu na wabaridi...

Anajua nampenda na yeye ananipenda pia... Pls tuache tupeane raha usituingilie kwenye mapenz yetu mapya... wewe endelea kula mirungi na kuvuta kitu cha Arusha...

mama yangu!!!! Mapenzi yenu na nani???
Umevurugwa si bure!!
 
Mkuu.. Mpenzi wangu Lady doctor amechoka Arushaone kwa tabia yake ya ulevi na uvutaji bangi na mirungi... Kuna siku nilikuwa naongea nae Ladydoctor kwenye simu, hadi ikafika moment akaanza kulia, kutokana na tabia ya ulevi na kula mirungi+bangi...

In short Lady doctor tumeshafika mbali sana kwenye maswala yetu ya mapenzi, kwa kweli TUNAPENDANA SANA.... WE ARE IN STRONG RELATIONSHIP.....

mtumeeeeeeeeeeeee!!!! Nahisi umetumwa wewe!
 
Mkuu.. Mpenzi wangu Lady doctor amechoka Arushaone kwa tabia yake ya ulevi na uvutaji bangi na mirungi... Kuna siku nilikuwa naongea nae Ladydoctor kwenye simu, hadi ikafika moment akaanza kulia, kutokana na tabia ya ulevi na kula mirungi+bangi...

In short Lady doctor tumeshafika mbali sana kwenye maswala yetu ya mapenzi, kwa kweli TUNAPENDANA SANA.... WE ARE IN STRONG RELATIONSHIP.....
Safi kabisa mkuu,huyu Arushaone too much kujishaua,komaa mwanawane ladydoctor ka vipi mjaze na mimba reo reo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom