Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Acc# kama ya Bill Gates, afu nnavopenda kuzitumia na warembo mapacha... mbona tutaenda paradiso.
umeona eeeeee
mwanume huogopi matumizi lolz!!
Acc# kama ya Bill Gates, afu nnavopenda kuzitumia na warembo mapacha... mbona tutaenda paradiso.
Unakumbuka weye! Kha... ile gari iko njiani, brand new... wiki ijayo naenda kuitoa bandarini