Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,867
Last edited by a moderator:
Kumbe nyie ni mapacha ehee Passion Lady na Lady doctor!Nilikuwa nawachanganya unajua,ngoja nitamuuliza vizuri mdogo wangu Heaven on earth
muulize tu akwambia
sie kulwa na dotto!!
watu8 hapa we na familia yako mlikuwa mnaelekea wapi!!!!!!!!!
MD25 kaza buti mwanawane,mtoto nimeongea naye muda si mrefu kaanza kulegea!
muulize tu akwambia
sie kulwa na dotto!!
naomba nikufungie ndani angalau hata huu mwaka uishe
Mkuu huyu Lady doctor hababaiki na hayo mabilioni ya Arushaone. Kuna siku alikuwa ananieleza kuwa ameachana na jamaa yake kwa sababu ya ukicheche, nashukuru kwa kunijulisha kuwa Arushaone ni kicheche