Lady doctor naomba tuwe wapenzi

Lady doctor naomba tuwe wapenzi

Hivi unampenda kweli Arushaone au unamzuga?


Ampende wapi... Ninachokiona hapa huyu Arushaone atakuwa ana pass word ya mpenzi wangu Lady doctor kwa hiyo anakuwa anajibu as if yeye Lady doctor ndio anajibu...
 
.......Au ukute mwenye ID zote ni mmoja! JF kuna mambo mpenzi!

Yaani Kiongozi muda wote ulikua hujatambua mwenye Id hii ni specific anaitumia kwa issues kama hizi !
Ofcz atakua ni mtu maarufu tu hapa.
Asikupotezee muda.
 
leta noma kubwa shem...
kuwa mkali! watakoma..
bad to me ambaye nina mpenzi wa kiukweli kwelii humu!!

We mpenzi tu na mie mwenye baba totoo na tunajuana ID na tunaselebuka tu humu mwache asimame kama yeye kama yeye kipimo tosha cha uaminifu
 
Yaani Kiongozi muda wote ulikua hujatambua mwenye Id hii ni specific anaitumia kwa issues kama hizi !
Ofcz atakua ni mtu maarufu tu hapa.
Asikupotezee muda.

Nami na shemejio Lady doctor tunafuata ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
he he he heee,
Yamekuwa hayo tena,
Loooh @MD 25 umetokea ahera au uko
hapa hapa duniani,
Ndoa alifunga Arushaone baada ya kunipa talaka
akaoa Lady doctor, leo unakuja kumtaka mke wa watu
loooh, hivi hiyo kamati ya Baba V iko wapi
mtuondolee hiki kirusi hapa, aseeee.
 
Last edited by a moderator:
@Md 25 hivi unajijua kuwa umevurugwa
tena alokuvuruga nahisi keshadedi
sijui utarudije kwenye hali yako.

Ampende wapi... Ninachokiona hapa huyu Arushaone atakuwa ana pass word ya mpenzi wangu Lady doctor kwa hiyo anakuwa anajibu as if yeye Lady doctor ndio anajibu...
 
Erickb52 unajiita mwanamapinduzi kwenye kazi ya uenyekiti ndoa
upo tu unatoa mimacho ndoa ya ndugu yako inaingiliwa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Lakina wakina BISHANGA ni wataalam wa katerero.... Umeshawai kurusha maji wewe?....

katerero ataiweza wapi wakati anakula baga tu huyo,mtaalamu mpenzi wangu tu kiwatengu nayarusha acha kabisa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom