Lady doctor naomba tuwe wapenzi

Lady doctor naomba tuwe wapenzi

dah! uvumilivu unaweza kunishinda sasa.
yaani wake wa washkaji zangu wanatongozwa kinoma..
nitaanza kuropoka matusi!
kwa yeyote atakayezidi kuleta shida..

achaneni na wake za watu!! #pimbi nyie wote..
mnaotongoza wake za watu humu!
 
Peleka ushenzi wako huko huko ushenzini, achana na mke wangu. Ukiona vyaelea vimeundwa man!

Acha kupanic bana,ile kitu ni barabara ya lami gari likipita haliachi alama,isitoshe mhusika kasema ngoja asome waraka vizuri halafu wewe unaanza kuchimba mkwara,kha!
MD25 komaa mwanawane ukute ladydoctor kachoka ugali maharage kila siku anatamani biriyani.
 
Last edited by a moderator:

Wako akiwa ndani kiwatengu,akitoka nje........
Aione shansarie
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyu Lady doctor hababaiki na hayo mabilioni ya Arushaone. Kuna siku alikuwa ananieleza kuwa ameachana na jamaa yake kwa sababu ya ukicheche, nashukuru kwa kunijulisha kuwa Arushaone ni kicheche

we..we..we.. Ishia hapo hapo nitakutoa baru na hicho kibarua chako!
 
Acha kupanic bana,ile kitu ni barabara ya lami gari likipita haliachi alama,isitoshe mhusika kasema ngoja asome waraka vizuri halafu wewe unaanza kuchimba mkwara,kha!
MD25 komaa mwanawane ukute ladydoctor kachoka ugali maharage kila siku anatamani biriyani.

Bishanga utu kome mimi na Arushaone hakuna atakae weza kututenganisha, peleka bilinganya zako huko
 
Last edited by a moderator:
leta noma kubwa shem...
kuwa mkali! watakoma..
bad to me ambaye nina mpenzi wa kiukweli kwelii humu!!

wanawake kutongozwa ndio hulka yetu shem, misimamo yetu tu ndiyo yaitajika wala usiumize kichwa juu ya mpenzio shansarie
 
Last edited by a moderator:
Peleka ushenzi wako huko huko ushenzini, achana na mke wangu. Ukiona vyaelea vimeundwa man!

Mkuu Lady doctor mweyewe ndio anakuponda... Anasema unakula tambuu sana na mirungi, pia unadai wewe ni mchovu na wabaridi...

Anajua nampenda na yeye ananipenda pia... Pls tuache tupeane raha usituingilie kwenye mapenz yetu mapya... wewe endelea kula mirungi na kuvuta kitu cha Arusha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom