Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,660
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)
Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido lina ilani ya kuwataka abiria kutokusimama eneo hilo
Hakikisheni mnapoanza safari basi abiria wote wawe wameketi katika seat zao na ikiwa abiria ni wengi ongezeni bus na sio kurundika abiria kama nazi kwenye tenga
Vile vile abiria nidhamu ianzie kwenu kwa kuhakikisha kuwa hampandi bus lisilokuwa na viti vilivyowazi
Hivi ndivyo Mataifa makubwa yanavyoishi kwa nidhamu, tuachane na maisha ya kuishi kwa hekaheka