Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Kweli hizi ni zama za mwendokasi

mbibilu sitakereka na uandishi wako! Naona uko nyuma sana ya wakati chukua muda upate taarifa zaidi labda inaweza kukusaidia kujua what is trending now..!
Halafu nimepost jukwaa la picha ambalo usually lina maelezo mafupi
me nmeona headline tu apoo kiongozi ayo maelezo mafupi pengine umeyaandika nyuma ya io picha coz labda sikuhizi nmekuwa myopic wa macho kias cha kushindwa kuyaona ayo maelezo
 
me nmeona headline tu apoo kiongozi ayo maelezo mafupi pengine umeyaandika nyuma ya io picha coz labda sikuhizi nmekuwa myopic wa macho kias cha kushindwa kuyaona ayo maelezo
Nikushauri tena jaribu kutafiti kilichotokea leo
 
Yani makondeko kawaweka wanajeshi kwapani? Hii ni aibu kubwa sana kwa jeshi letu.
 
Back
Top Bottom