Nyiluka
Senior Member
- Jul 26, 2011
- 122
- 46
Si kama Class MonitorKwa sababu its a total waste of time
Ushaona wapi duniani taasisi inachagua head guy kila mwaka??? Deplorably ridiculous.
Si kama Class MonitorKwa sababu its a total waste of time
Ushaona wapi duniani taasisi inachagua head guy kila mwaka??? Deplorably ridiculous.
Absolutely right!Kwa sababu its a total waste of time
Ushaona wapi duniani taasisi inachagua head guy kila mwaka??? Deplorably ridiculous.
Usiombee kukutana na mawakili wasomi..! Weeeh 😂 😂Halafu wanajiita wasomi🤣🤣🤣
Rais wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa huchaguliwa kila mwaka; hujui hilo?Kwa sababu its a total waste of time
Ushaona wapi duniani taasisi inachagua head guy kila mwaka??? Deplorably ridiculous.
Kama nchi mbona tulivumilia kuongozwa na yule kichaa kwa miaka 5? Covid ikaokoa jahaziMiaka miwili au mitatu, mkipata rais ambaye hayuko sawa sawa kama lisu mnafanyaje kweli? Mnavumilia miaka miwili hadi mitatu?
Tulivumilia miaka 6 kuwa na taahira ibilisi juu kule mpaka alipoondolewa,sembuse miaka miwili!!??Miaka miwili au mitatu, mkipata rais ambaye hayuko sawa sawa kama lisu mnafanyaje kweli? Mnavumilia miaka miwili hadi mitatu?
UCHAGUZI WA TLS HUSIMAMIWA NA TUME YA UCHAGUZI TUME TUME AMBAYO WOTE TUNAJUA HAIKO HURU WALA HAITENDI HAKI SIKU ZOTETLS ina wanachama zaidi ya elfu Tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu Moja Jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao.
Lakini pia kati ya waliojitokeza Kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana ambao kipindi Cha nyuma walikuwa wengi.
Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uwezo wa kiuchumi? Kama asilimia 75 Wana ukwasi finyu taaluma hii inakwepaje makanjanja?
Kwa umaskini huu si wakati wa kuwaza kutumia Teknolojia kupiga kura kuwapa haki mawakili wasio na fedha za nauli?
Rais wa wanasheria hayuko chini ya rais wako na hapokei maagizo yoyote toka kwa rais wako na ndicho kilichomuudhi mwendazake na kuweka kusudio la kutaka kuifuta TLS, Lissu alipata asilimia 88 ya kura zote.Lissu tunduka na Msando
Lissu alipochaguliwa tu kuwa rais wa TLS akatangaza yeye ni rais, kajiona tayari ni rais wa JMT.
Kaanza kupingana na mamlaka hajui yeye ni rais wa TLS sio JMT.
Msando ye alipima oil papa nguru kwa gigy money live.
Ni mdau wa karibu tls watu wakapoteza imani na tls.
Na sijui kama alitokea safari hii
Watu hao ni Tundu Lissu na Fatma Karume.Tasnia ya sheria iliharibiwa na watu wawili.
Wameiharibu mno.
Kwani TLS huwa inapita majimboni kuja kuipigia CCM kampeni?Chama kisichokuwa na mchango kwa jamii na kuishia kuwa genge la mapuppets ya ccm ni heri tu mmesusia uchaguzi wao.
Endeleeni kuwa kama condom, ccm wakiisha watumia vya kutosha watawatupia kt shimo la choo na kuwaflashu
Jikite kwenye taaluma yako. Eti Msando ni mdau muhimu TLS!!!Lissu tunduka na Msando
Lissu alipochaguliwa tu kuwa rais wa TLS akatangaza yeye ni rais, kajiona tayari ni rais wa JMT.
Kaanza kupingana na mamlaka hajui yeye ni rais wa TLS sio JMT.
Msando ye alipima oil papa nguru kwa gigy money live.
Ni mdau wa karibu tls watu wakapoteza imani na tls.
Na sijui kama alitokea safari hii
Marehemu Nani?Majority walikua KIPONG wa nakunywa beer na marehemu.
hahaha hiyo bar imezungukwa na makaburiMarehemu Nani?
Unataka kusema sio member TLS?Jikite kwenye taaluma yako. Eti Msando ni mdau muhimu TLS!!!
Rais wako rais wetu we bwege nini.Rais wa wanasheria hayuko chini ya rais wako na hapokei maagizo yoyote toka kwa rais wako na ndicho kilichomuudhi mwendazake na kuweka kusudio la kutaka kuifuta TLS, Lissu alipata asilimia 88 ya kura zote.