Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Na sisi tumekuita huku ili ucheke! Msikalie siasa tu huko muwe mnakuja huku kufurahi!
Hahahahah. Ohaya ng'hana. Huwa sitembelei hili jukwaa na sikufahamu kama linavituko vya aina yake.

Obeja ngosha ugunitana ahagashikome genaka.
 
Hahahahah. Ohaya ng'hana. Huwa sitembelei hili jukwaa na sikufahamu kama linavituko vya aina yake.

Obeja ngosha ugunitana ahagashikome genaka.

Obeja nkoi! Huku kuna porojo nzito

Yani nikufurahi kwa kwenda mbele! Ila na wewe uwe unatoa maneno ya kuchekesha km mwallu
 
Last edited by a moderator:
Nanyie utadhani hili jukwaa la wanyantuzu,bora hata wale shomile mwetu huwa wanaongea swanglishi

ILOMBOYE olo otola nkima wope gete, ndoho okobacha etala eboziko! Yani nkima ng'wene akayobaka gete tala Wei doh! Neyo nakowele amang'ombe Lazima gaje minge sn
 
Back
Top Bottom