Nsukuma gete gete!
ohoooooo msimkamue sana dada
ataingia mitini jamani
mmeanza na kigamboshi chenu....
af unakua maarufu kweli..mkiwa mnatembea njiani ''all eyes on you''..raha sana
Wabehi ina maana ulu ubiza wape ukuyubaka na kumweka kiti tala nuru chemulu bhabehi
muwache kusema ni wasukuma tu ndo tunapenda watoto kama hawa,hivi kuna watu wa jamii fulani hawapendi watoto kama hawa?haki ya nani siamini,ndo kila siku tunasingiziwa sisi tu.
haya mtoto kama wa hivi kama yumo humu ndani mimi nitaarifiwe ili nimpigie simu mzee aandae ng'ombe za kutosha kabisa alafu nyinyi ambao hamuwapendi hawa basi mtuachie sisi wasukuma wanatufaa
Maboboto na masunga yeeeeeee niyo giki kiti nashika kaya gete
Waambie ndugu zako wasukuma na wote wanaopenda wanawake weupe kwamba...siku hizi mwanamke mweupe ana angaliwa miguuni si usoni tena!