Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

abha gamboshi lulu
nawahi majukumu....
aga bhiti galina pancha
 
wasukuma taifa kubwa naninafurahi tumeanza lujotambua kuikataa ccm..imetufanya tudumae kielimu...
 
mi siyo muha, huku kwema sana, najiandaa kuja huko jijini nishangae magari mengi na watu wengi, ila nitakerwa na foleni


Nenda na FISI au nyie huko hamtumii FISI ktk usafiri? Ukikuta foreni unapenya tu na FISI wako!
 
Wapo wasukuma wajanja...mimi mweusi na msukuma wangu kafa kaoza...te te te
 
Alafu uache ukorofi,

Mimi sielewi hayo maandishi ya mwanzo


Ndo maana nikayafasiri mwisho! Mnasingizia kipenda roho kumbe limbwata linafanya kz! Lukomolo bhabhi!
 
Back
Top Bottom