Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Ntuzu kwani ukiandika kiswahili tukaelewa wote kuna tatizo gan?

Hebu nisaidie kuelewa basi mkuu


Pole mpendwa tian ntaandika Kiswahili!
Tatizo mwallu Mchokozi sn tena anweza akakufanya kila unapomkumbuka Lazima ucheke au ufurahi!
 
Last edited by a moderator:
unkema wape mpaga nubhusheke bhugabhizaga bhope. bhanike bhape bhanonu gete
 
Nywele HAkaNA tatizo la Mshinga huenda ni Msukuma
sasa angekuwa WHITE nywele za kumwagika mgongoni
Je angekuwa ni MMANGA wa Maganzo au Tabora au wa Kirangi nywele zake si ungekimbia
Nina demu mmoja mmanga hapa Maganzo ndugu yake na Nchambi's, mwambie ni muachie.
 
mimi hapa nipo mshinga mweupe peeeeeeee kama theruji ongea na my sis mwallu akuandalie idadi ya ng'ombe au unaweza kuwasiliana na Kiranga Ntuzu au Kaunga wakupigie mahesabu ng'ombe wangapi utalipa kwa kifaaa kama mimi then

Chonde chonde habari ya kuoa kwa mahari mimi siifagilii. Sikatazi, lakini siifagilii na kwa hiyo kazi ya kupigia mahesabu nani auzwe kwa ng'ombe wangapi naomba niepushwe nayo.

Halafu kama mtu anapenda wanawake weupe ingefaa atafute mzungu na kumaliza ubishi.
 
Muache kusema ni wasukuma tu ndo tunapenda watoto kama hawa,hivi kuna watu wa jamii fulani hawapendi watoto kama hawa?haki ya nani siamini,ndo kila siku tunasingiziwa sisi tu.

Haya mtoto kama wa hivi kama yumo humu ndani mimi nitaarifiwe ili nimpigie simu mzee aandae ng'ombe za kutosha kabisa alafu nyinyi ambao hamuwapendi hawa basi mtuachie sisi wasukuma wanatufaa.


Huyo naye miwani utasema vioo vya Leyland ndo kituko gani sasa?

Kwanza amekupa ruhusa kutumia picha yake hapa?
 
Chonde chonde habari ya kuoa kwa mahari mimi siifagilii. Sikatazi, lakini siifagilii na kwa hiyo kazi ya kupigia mahesabu nani auzwe kwa ng'ombe wangapi naomba niepushwe nayo.

Halafu kama mtu anapenda wanawake weupe ingefaa atafute mzungu na kumaliza ubishi.

ohooooo Kiranga ungeandika kilugha kaka afu nilisahau kabisa kuwa brideprice kwako ni mwiko
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu miss neddy na Mshinga..kipindi kile miss tz hapiness magese alivotwaa taji,alifanyaga ziara mikoani..sasa alivofika mwanza alitembelea maeneo mbalimbali...abhagosha abhasukuma angu bhalina tuja,walitegemea anakuja miss mweupe nginu gete ..sasa aho oshika u hepi..abha jinja she bha mwaloni bhayumela

''agaya,abha swahili bhalinatuja shi,bhatatangagije aliza miss,miss..duhaya aliza ng'wanike opee ngololoku shiza,aliyo bhadenhela miss ke..miss ke ng'wenuyu adeni dako''

kwa hiyo Mshinga weupe nele dako ni added advantage usukumani..lol
Oneta naseke nkoyi! Mmanile ukuyomba.
 
Bhebe ngosha, Huyu dada nina wasi wasi kama wazazi wake wataweza kupata ng'ombe nyingi za wasukuma pamoja na kwamba ni mweupe.

Mpagha abize na magulu gawisa bila kusahau madako.

Ha ha ha ha!
Cc mwallu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom