Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Mimi ni Msukuma lakini sifagilii wanawake weupe mi napenda chocolate Mkuu...acha kabisa naweza kumpa hata moja ya viwanja vyangu aiseee...pia haswa akiwa na nyama kidogo sio sanaaa...jamani acha tuu halafu humu JF WAPO Ila wametulia tuliiii....dawa yao ni kuwapa tuuu mazawadi na ma shopping tuuu hadi wakatae...

Okay!Huenda ungekuwa mfalme ungehonga vyeo.
 
Hawa wajomba zangu wananishangaza sana inabidi leo nipatiwe majibu.Mwanamke mweupe huolewa kwa ng'ombe wengi tofauti na wengine.Wasukuma huwa tayari kutoa chochote ili kutimiza adhma ya kuwa na vyeupe.Pia msukuma yupo radhi kuhonga chcochote kwa mtoto cheupe hata kama ni cha jumuiya.Je ni kwa sababu ya ushamba,ulimbukeni,maagano au ni tamaduni zao?Majibu yasiyokuwa na povu ni muhimu bandugu.
Wewe utakua msambaa sio bure
 
Nguvu za kiuchumi,unapokuwa upo njema kiuchumi ni lazima uchague kitu bora kw gharama yoyote ile ,km wewe ni choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi.utaweza wp kufanya hivyo???!!!.kuna wakati mhe pinda akiwa waziri mkuu nilikutana nae kwenye mkutano wa hadhara huko kwao,aliwaambia wapimbwe wenzie kuwa msukuma mwigeni mambo mengne yoote lkn c la kuoa,anaoa wake wengi sn halafu anachagua mbegu ya mwanamke wa kuoa,hii yoote anafanya kw sbbu ana nguvu za kiuchumi.akatoa mfano,akasema hapa maji ya moto kuna mzee mmoja wa kisukuma ana wake 8 na woote wamezaa.vijana wake watano juzjuz wameo akatoa mahari kila mmoja ng'ombe 55x5=275. Alitoa jumla ya ngombe 275×8000000=????!!!. Hizo ndizo nguvu za kiuchumi za msukuma.LAZIMA UCHAGUE MWANAMKE MZURI.
 
Back
Top Bottom