Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
463
225
Hapa ndo kwenyewe kuwapata weupe. Mimi pia ni Ngosha na kupenda kwetu warembo weupe kunachangiwa na mila zetu. Katika makuzi yetu tumekua tukichunga Ng'ombe ambao ndo utajiri wetu. Sasa basi idadi ya ng'ombe wekundu kwetu ndo utajiri wenyewe na c weusi. Na njia pekee ya kupata ng'ombe wekundu ni kuwa na ama fedha au mtoto mweupe maana huolewa na ng'ombe wekundu wengi. Sasa katika hali hii ni kwamba binti mweupe usukumani ni dili safi. Wazazi tunajivunia kuwa nao na vijana wanapambana kuwapata ili kudhihirisha utajiri walionao na heshima kwa vijana wenziye. Hata hvyo weupe hutambulisha usafi na mng'aro c wajua cc tulivyo weusi? Tukipata weusi wenzetu itakuwa balaa.
 

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
Kwa hiyo awe mweupe tuu hata kama ni polygon yeye atapendwa tu na wasukuma
 

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,040
1,500
Mandugu kwanza kabisa CHEUPE dawa hata kama gizani ngoma inawaka tu, maana halisi ya neno MWEUPE kwetu wasukuma tunaita CHAPA NG'OMBE.........
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,081
2,000
QUOTE=Humphnicky; hiro rangi jeupe?

Wewe msukuma kweli? Hell NO! Ni dhahiri wewe ni mkurya.
 

Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,081
2,000
Ni kweli binti mweupe dili usukumani. Kwa maana uzao wake una nafasi ya kutoa vibinti vyeupe ambavyo wakati wa kuozwa vinaleta ng'ombe wengi in terms of mahari.
 

Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,219
2,000
Mimi pia ni msukuma wa Ibadakule lakini rangi kwangu sio tatizo, hayo ni mambo ya zamani na juu ya sababu kuna vitu vingine havina sababu ya msingi unaweza kuta mtangulizi mmoja alipenda mtoto mweupe basi wote kuiga na hatimae kuwa kama utamaduni. Hakuna sababu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom