Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

mahari ni mahari tu..iwe ng'ombe au pesa ni mahari tu..labda kama tian kwao hakuna mahari..hapo sawa..

Wachaga hawauzi watoto wao wa kike,

Mbege ndoo,mazima kidumu na mafuta hapo ni funga kazi,

Ndoo maana wanawake wa kanda ya ziwa wananyanyaswa sana,kwa kuwa huyo mume ana uchungu na hiyo mahari yake ya ng'ombe 50.
 
Last edited by a moderator:

Hakuna manyanyaso yeyote! Tena tunawapenda wake zetu na kuwajali sn! Hujui wanaume Wa kisukuma wanaongoza kwa UPENDO?
 
Mmmhhh...siwezi kubisha ila najua wanaume wa kanda ya ziwa kwa mfumo dume ni nomaa
 
Kwa kua huwezi kubisha basi Hilo limepita!

Hilo la mfumo dume ni lugha za wanaharakati hizo!
 
1549371_596101043798560_1422519049_n.jpg

afande ana nini au mjamzito?
 
sasa hiyo mbege ya nini? na iko kidumu na mafuta vya nini?..si wamtoe bure tu?..af kuna wachaga nawafaham weng walitolewa mahari,pesa kiasi na vitu vingine juu
Wachaga hawauzi watoto wao wa kike,

Mbege ndoo,mazima kidumu na mafuta hapo ni funga kazi,

Ndoo maana wanawake wa kanda ya ziwa wananyanyaswa sana,kwa kuwa huyo mume ana uchungu na hiyo mahari yake ya ng'ombe 50.
 
wasukuma wasiku izi wanaoa uchagani sana...
salsa kule wakikutana na rang nyeupe undo wanafirisiwaa kabisaaa
 
sasa hiyo mbege ya nini? na iko kidumu na mafuta vya nini?..si wamtoe bure tu?..af kuna wachaga nawafaham weng walitolewa mahari,pesa kiasi na vitu vingine juu

Hizo sio mahari...ni shukrani tu mwallu!!!!

hebu mpfano kama wewe hivi..kwa mfano tuuu....tualipiwa ng'ombe wangapi!???
 
Last edited by a moderator:
weupe unawazuzua kina Ntuzu..samahani SEZAE..mfano tu

Back
Top Bottom