Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Tabora mjini pana wakati miaka ya 70 katikati walikuja watoto wa Chief Fundikira (Story niliambiwa).
Wakati huo, Fundikira akiishi Kenya kama Mkimbizi. Watoto wakaja kusalimia Unyanyembe, mitaa ya Itetemya.
Walipofika tu Tabora mjini na kale ka kukachanganya Rangi na Uhindi/Uarabu?? Tabora mji uliwaka moto.
Vijana wote walichanganyikiwa kabisa na vijana wa Tabora Jazz wakajiingiza kwenye mapambano.
Walipohangaika na kukwama, wakaishia tu kuwatungia huu wimbo maana watoto walikuwa wameiva na wana RANGI YA CHUNGWA.

Last edited by a moderator: