PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,830
Wapo maengineer wanabadilisha wanawake kama nguo.Kushobokewa hutegemeana na unavyojiweka tu mwenyewe.
Wapo maengineer wanabadilisha wanawake kama nguo.Kushobokewa hutegemeana na unavyojiweka tu mwenyewe.
Mi engineer. Njoo kwangu.Mm Nataka mtoto na eng awe na akili ndo ndoto yangu mengine mbwembwee
Acha kutunanga bwana. Mi mbona huwa naanza kwa kusifia na mambo mengine ya kujali.Nilidate engineer long time kitambo. Hawajui kuremba wanakwenda straight to the point. "Mimi ninakupenda wewe unasemaje?"
Yaani vile wanavyofanya equations za physics na hesabu ndivyo wanavyotongoza.
Hatunaga story za kuimbisha zaidi, wengi tuko mdomo zege[emoji2]Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
TangazoNimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Shida uwiano darasa moja mijanaume 60 mademu 4, hao mademu sasa Kama wanaume tu.Kwahiyo hata wanawake ambao ni maengineer wenzenu hawawashobekei
Nataka mwenye miaka 29 mpaka 39We si unataka engineer mm ndo nakupa huyo au sio size yako
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mi engineer. Njoo kwangu.
Yani umesoma enzi za TCU? Kweli we we dogo..sisi tulisoma enzi hizo unanyuka Div one kaliii alafu unachaguliwa vyuo kibao,then unaamua uende wapi..Duuuuh.. TCU sijui kwanini hawakunipeleka huko jamani. Ila chief mko vizuri.
Mi mhenga bwana sema nilichelewa tu shule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani umesoma enzi za TCU? Kweli we we dogo..sisi tulisoma enzi hizo unanyuka Div one kaliii alafu unachaguliwa vyuo kibao,then unaamua uende wapi..
Hivi Injinia maana yake si ni "FUNDI" tu? Yan fundi Ujenzi, fundi bomba nkNimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Basi sawa nampa mizinguo90 atamfaa ila asimpeleke lastanza bure akapolwa na muuza popcornNataka mwenye miaka 29 mpaka 39
Samahani mkuu mpunguze uongo usio na uhalisiaNimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Hawachelewa kusema ule mwanya wa papuchi eti unapumuaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo huwa mnapenda mtambuliwe kwa uhandisi wenu, kwa kupenda kwenu kujitambulisha kila sehemu kwa kuanza Eng. Flani hata kwenye vikao vya kijamii vya kawaida vya kuchangia uji wa watoto (wanawaona kama mna complication wakati sio kweli)
Sio Shamsa Huyu?Yes mkuu nimeomua kufunguka ya kweli japo kuna watu watakuja kupinga kinafki japo ukweli ndio huu kuwa engineers hatuogi na hatupo romantic kabisa.Engineer kuoga kwake ni adhabu kama adhabu nyingine.Engineer ukimwambia afanye mtihani wa hesabu na asipopata kuanzia C atapata adhabu au akaoge tu mara moja basi atachagua kufanya huo mtihani kupoteza masaa matatu kuliko kuoga dakika 5 tu.
Huyu ndio Engineer na sio rahisi kupendwa na warembo zaidi ya engineers wenzetu ambao tunakuwa nao discussion kuanzia asubuhi mpaka majogoo na hakuna aliyeenda kuoga.Hahahhahahaha Pia ulisahau kuwa Engineers wa kike wanasura zinazofanana na yule aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Basi sawa nampa mizinguo90 atamfaa ila asimpeleke lastanza bure akapolwa na muuza popcorn