Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya majungu siyo ya nchi hii
Sio majungu kuna mainjia walikuja mtaani kwetu kutengeneza barabara yan walinisumbua balaa maana mm ni mtoto mashaaalah kijijin kwetu wakija na wengine hivyo hivyo wanapenda mrembo wa kijiji kizima ndo maana mnakosa shobo kutoka Kwa mademu wengine
 
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Wanatuogopa sisi ni level ingine Mara nyingi nimekuwa nikitongoza wanawake wanadhani ni utani ww utanitaka mm !!!
Wanatuogopa
 
Wanatuogopa sisi ni level ingine Mara nyingi nimekuwa nikitongoza wanawake wanadhani ni utani ww utanitaka mm !!!
Wanatuogopa
hii reason yaeza kuwa kweli kabisaa boss
 
zile buti zina vyuma kwa mbele halafu zinakuwa zinatuchubua
Hahahahahahhah nilisikia wakilalamika nikasema acha mteseke maana kipind tunasoma mlikuwa mnajifanya mna akili sana
 
Wanasema sisi Engineers ni wachafu sana kimwili ila kiakili ni wasafi.Uchafu wetu wa mwili ndio unatuponza,nadhani tukianza kuoga kila siku inaweza kusaidia..
Hii inauhalisia maana hata sikumbuki mara ya mwisho nilioga lini
 
Sio majungu kuna mainjia walikuja mtaani kwetu kutengeneza barabara yan walinisumbua balaa maana mm ni mtoto mashaaalah kijijin kwetu wakija na wengine hivyo hivyo wanapenda mrembo wa kijiji kizima ndo maana mnakosa shobo kutoka Kwa mademu wengine
Kijijini kwenu wap
 
Wanasema sisi Engineers ni wachafu sana kimwili ila kiakili ni wasafi.Uchafu wetu wa mwili ndio unatuponza,nadhani tukianza kuoga kila siku inaweza kusaidia..
Hii inauhalisia maana hata sikumbuki mara ya mwisho nilioga lini
Hahahahaaa very true!
 
Wanawake hatujawahi jua tu kama na nyie mna hela inawezekana kuliko hao wengine. Toka niwe karibu na engineers (civil) nimetamani hadi kudate engineer maana mnalipwa vizuri jamani.
 
Yes mkuu nimeomua kufunguka ya kweli japo kuna watu watakuja kupinga kinafki japo ukweli ndio huu kuwa engineers hatuogi na hatupo romantic kabisa.Engineer kuoga kwake ni adhabu kama adhabu nyingine.Engineer ukimwambia afanye mtihani wa hesabu na asipopata kuanzia C atapata adhabu au akaoge tu mara moja basi atachagua kufanya huo mtihani kupoteza masaa matatu kuliko kuoga dakika 5 tu.

Huyu ndio Engineer na sio rahisi kupendwa na warembo zaidi ya engineers wenzetu ambao tunakuwa nao discussion kuanzia asubuhi mpaka majogoo na hakuna aliyeenda kuoga.Hahahhahahaha Pia ulisahau kuwa Engineers wa kike wanasura zinazofanana na yule aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii
 
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Kama ukweli vile ktk utafiti wako,nami nkawa najiuliza kwanini wanawapenda sana madaktari?
 
Back
Top Bottom