Sana jamani. Mnalipwa vizuri sana nyie watu au labda iwe ofisini kwetu tu ndo wanalipa engineers vizuri.Hahahahaa PESA zikakuvutia
hahahahaa wallahi, Miaka ya Nyuma Pale CoET kulikuwa na madem ambao ukimpeleka UDBS anafaanana na baadhi ya wanaume, sasa nani atamvutia ase?Yes mkuu nimeomua kufunguka ya kweli japo kuna watu watakuja kupinga kinafki japo ukweli ndio huu kuwa engineers hatuogi na hatupo romantic kabisa.Engineer kuoga kwake ni adhabu kama adhabu nyingine.Engineer ukimwambia afanye mtihani wa hesabu na asipopata kuanzia C atapata adhabu au akaoge tu mara moja basi atachagua kufanya huo mtihani kupoteza masaa matatu kuliko kuoga dakika 5 tu.
Huyu ndio Engineer na sio rahisi kupendwa na warembo zaidi ya engineers wenzetu ambao tunakuwa nao discussion kuanzia asubuhi mpaka majogoo na hakuna aliyeenda kuoga.Hahahhahahaha Pia ulisahau kuwa Engineers wa kike wanasura zinazofanana na yule aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii
by the way wanalipwa hasa kwa contract, ila kwa wale wa ofisini mf Tanroads (hawa ni civil) wanalipwa mpaka laki moja per day wakiwa site na hio ni tofauti na mshaharaSana jamani. Mnalipwa vizuri sana nyie watu au labda iwe ofisini kwetu tu ndo wanalipa engineers vizuri.
Mambo ni mengi, vitu ni vingi engineer[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanasema sisi Engineers ni wachafu sana kimwili ila kiakili ni wasafi.Uchafu wetu wa mwili ndio unatuponza,nadhani tukianza kuoga kila siku inaweza kusaidia..
Hii inauhalisia maana hata sikumbuki mara ya mwisho nilioga lini
Duuuuh.. TCU sijui kwanini hawakunipeleka huko jamani. Ila chief mko vizuri.by the way wanalipwa hasa kwa contract, ila kwa wale wa ofisini mf Tanroads (hawa ni civil) wanalipwa mpaka laki moja per day wakiwa site na hio ni tofauti na mshahara
Usijekuwa kibibi gagula[emoji1] [emoji1] [emoji1]Gamboshi
Umeamua mwenyewe kukaa shaghalabaghala...usiulaumu ulimwengu. Chema chajiuza....Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Lakini malipo mazuri. Huwa najuta sana kukutosoma civil engineeringila hatu enjoy kama wengine...toka advance maisha magumu na PCM chuo ndo kabisaa mpaka mtaani sometime unalala mpaka kambi
Tatizo mmekariri wale wakaka wasafi, mateller wa bank ndo wenye hela.[emoji1] [emoji1]Wanawake hatujawahi jua tu kama na nyie mna hela inawezekana kuliko hao wengine. Toka niwe karibu na engineers (civil) nimetamani hadi kudate engineer maana mnalipwa vizuri jamani.
Ndio. Kumbe wenye hela tunawacha bure. Mimi sema nishajifunza sasa hivi.Tatizo mmekariri wale wakaka wasafi, mateller wa bank ndo wenye hela.[emoji1] [emoji1]
Hahahahaha ni nouma mkuuhahahahaa wallahi, Miaka ya Nyuma Pale CoET kulikuwa na madem ambao ukimpeleka UDBS anafaanana na baadhi ya wanaume, sasa nani atamvutia ase?