Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Hahaha, mkuu yaweza kuwa sio kweli au kweli, nilishawahi kusimamia mradi Fulani hivi wa Maji wilaya Fulani hapa nchini na ilikuwa ni mjini , watoto walikuwa wanajipendekeza sana nikawa nadinya tu.
Pamoja nakuwa tulikuweka bango la kuwa " UKIMWI UNAUA, KUWA MAKINI " ila hii haikunizuia mm kula vinono vya pale kama engineer.
 
Mimi nafikiri tatizo liko kwetu wahandisi, kwa sababu niliwahi kuktana na mama mmoja katika mazungumzo ya hapa na pale akasema kwamba mainjinia wengi wameishia kuoa masekretari!!! Nilivyojiongeza kidogo tu nikakuta kuna kaukweli!!!!
 
Dah...
IMG-20170825-WA0013.jpg
 
Ila kweli mademu huwa hawawapendi watu wagumu katika fani fulani, mfano kuna rafiki yangu mmoja alikuwa yupo science wakati tunasoma Olevel dah! jamaa alikuwa hashobokewi na demu yeyote yule mikato yake ilikuwa ya kigumu sana kuna staili yake moja ya ya kuvaa shati alikuwa akifunga hadi kishikizo cha juu alafu achomei wala nini, dah! jamaa aliishi kwa tabu sana japo alikuwa ndio kichwa katika science.
 
ahahaha
 
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Kwahiyo shida yako yote ni kushobokewa tu,,na ukisha shobokewa unafaidika na nini,,tunasafari ndefu sana
 
Smart911 my engineer ailavyuuuuuuuuuuuuuuuu [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom