Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Tatizo huwa mnapenda mtambuliwe kwa uhandisi wenu, kwa kupenda kwenu kujitambulisha kila sehemu kwa kuanza Eng. Flani hata kwenye vikao vya kijamii vya kawaida vya kuchangia uji wa watoto (wanawaona kama mna complication wakati sio kweli)
Kweli asee yani wahandisi apo tu ndio tunazingua yani mahala ambapo identity yako haitajiki vile mtu ndio anakomaa Eng nani
 
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Mimi nafikiri tatizo liko kwetu wahandisi, kwa sababu niliwahi kuktana na mama mmoja katika mazungumzo ya hapa na pale akasema kwamba mainjinia wengi wameishia kuoa masekretari!!! Nilivyojiongeza kidogo tu nikakuta kuna kaukweli!!!!
 
acha uongo mkuu wakati watu wanasoma UDBS wakitongoza wanadanganya wanasoma Electrical CoET sema wewe ndo hukua na time nao.
Hahahahaaa Mkuu UDBS ni moto madem hawawakatai machizi wa UDBS
 
Mimi nafikiri tatizo liko kwetu wahandisi, kwa sababu niliwahi kuktana na mama mmoja katika mazungumzo ya hapa na pale akasema kwamba mainjinia wengi wameishia kuoa masekretari!!! Nilivyojiongeza kidogo tu nikakuta kuna kaukweli!!!!
kwanini wanaoa masekretari boss?
 
Kwahiyo hata wanawake ambao ni maengineer wenzenu hawawashobekei
Mkuu ni wachache sana, mfano class letu la Civil walikuwepo watano tu halafu wagumu kinoma
 
Back
Top Bottom