Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,750
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
 
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani.

Cha ajabu nimeona ma engineer hatupewi priority wala kushobokewa na mademu

sasa swali linakuja hapa....Kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa priority sawa na hao wengine?
Unataka mwanamke akupende wewe au aipende career yako?
 
Si mlikuwa mnavyo tuonewa binadamu wenzenu kwa kutuzidi marks darasani mnajitapa hamuwezi soma longolongo ,sasa mademu wanataka longolongo leta hela sio ma-calculas
Na kwelii ase
 
Dah mnakuaga washamba kishenzi.

Kuvaa kuongea na kila kitu. Kama katokea mkoani ndiyo shida kabisa.

Yaani hata mimi wa kidato cha sita nimewapita.
hahahahaaaa au sio
 
sisi tuna amini kama asiponipenda mimi atapenda mafanikio yangu
Tatizo huwa mnapenda mtambuliwe kwa uhandisi wenu, kwa kupenda kwenu kujitambulisha kila sehemu kwa kuanza Eng. Flani hata kwenye vikao vya kijamii vya kawaida vya kuchangia uji wa watoto (wanawaona kama mna complication wakati sio kweli)
 
Tatizo huwa mnapenda mtambuliwe kwa uhandisi wenu, kwa kupenda kwenu kujitambulisha kila sehemu kwa kuanza Eng. Flani hata kwenye vikao vya kijamii vya kawaida vya kuchangia uji wa watoto (wanawaona kama mna complication wakati sio kweli)
hahahaha nsio sababu sio
 
Si unawajua waswahili mkuu...ukila muwa ama mahindi ya kuchoma huku unatembea barabarani wataona poa ila ukiwa umeshika soda ya kopo au chupa ya maji unakunywa huku unatembea wataanza kukuona unajidai hivyo hata nyie wanawaona hivyo
sure man thats the point!
 
Back
Top Bottom