Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Nilidate engineer long time kitambo. Hawajui kuremba wanakwenda straight to the point. "Mimi ninakupenda wewe unasemaje?"
Yaani vile wanavyofanya equations za physics na hesabu ndivyo wanavyotongoza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yan kwanza sura zinakuaga ngumu balaaa, alafu kuvaa n zero. Wako busy na kusoma tu
 
sasa Demiss tukuelewe VP Mara kuwapenda huku unawaponda, mainjinia mwangalien huyu anavizia tu mahela yenu,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kumbe unanichunguza mm siwapondi nasema ukweli
 
Ndioo nikasema kuna siku nikikataa kutoa vyombo atanichoma bisibisi alafu wana wivu alafu hakunitongoza kabisa aliniita tu kwake akaniambia kuna issue nikamsaidie kuingia ndani akaanza kunipapasa nikamuonea huruma nikampa vyombo mainjinia bure kabisaaaa eti ukikata mauno anasema oooooh hun speed hiyo hiyo sipendi low voltage Khaaaaaaaaaa vituko kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] una vituko wewe mwanamke
 
Ipo hivi wahandisi wengi ni watu ambao walikua wanatumia mda mwingi kusoma kuliko kufanya mmbo mengine ya jamii, na wengi wetu ni washamba, wale waliotokea vijijini huko, kuvaa hatujui, hatupo romantic, na wengi wetu sio mahandsome,, kipindi cha JK tulikua na hela hv kidogo tulikua tunashobokewa, ingawa factor zingine walikua wana zi keep constant,, sku hz hatuna hela, hatuko romantic, demu gani akushobokee sasa
 
Kuna mmoja nmemuuliza hapa kasema hiviii; "mmepewa nchi tu embu ona mnachotufanyia hamtaki vimini wala viduku" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Ndio sekta pekee Tanzania watu hao Hawana umoja mzuri, Wanasheria wanao Umoja na ili kumuona tu inakubidi ulipe pesa kidogo hata kabla ya Ushauri,vivyo hivyo Ma Dr, lakini Hawa Ma Eng umoja huo Havana, Angalia Wahasibu mpaka wanapanga Mshahara wao kwa Elimu ya SPA lakini Eng hoi,muda Upo tujipange kuweka Thaman yetu.......INAWEZEKANA....!!
 
sasa Demiss tukuelewe VP Mara kuwapenda huku unawaponda, mainjinia mwangalien huyu anavizia tu mahela yenu,
Mm nimejitolea nakupa demiss Ontario bureee coz nae n engineer achilia mbali mambo zake za forex pia Ontario ni brazamen atakufaa ukimshindwa niambie nimpe mizinguo90
 
Tatizo ma engineer wako serious sana yaana hawapo romantic wanawaza ma calculations tu hata kitandan ni shoka moja mbuyuchin hawana mda na sex tena wengine ngoja nisimalizie
 
Mm nimejitolea nakupa demiss Ontario bureee coz nae n engineer achilia mbali mambo zake za forex pia Ontario ni brazamen atakufaa ukimshindwa niambie nimpe mizinguo90
Wewe Ontario unanitafutia kesi jf nikose hata wakil
 
Back
Top Bottom