Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Mwanamke gani atavumilia uchafu wa ovaroli lililochafuka oil na grisi.
 
Mwanamke gani atavumilia uchafu wa ovaroli lililochafuka oil na grisi.
Mkuu acha dharau injinia hatuchafuki na oil kwani sisi ni vibarua sisi ni waelekezaji usimamizi wa maelekezo ya uundaji
 
Utakuta ni katoto ka mwaka wa kwanza au wa pili hapo UDSM hakana mbele wala nyuma eti kanajiita engineer wakati probably mwisho wa semister to hapo katadisco.....
Haha mimi sijawahi kujiita engineer maana kama huna ule mhuri hakuna uinginia hapo..Wana mbwembwe ndio yale ya kujiita DR PCB then unapata IV.
 
Mkuu acha dharau injinia hatuchafuki na oil kwani sisi ni vibarua sisi ni waelekezaji usimamizi wa maelekezo ya uundaji
Basi hatari. Daktari asiyeshika mkasi kufanya upasuaji isipokuwa vibarua ni hatari sana.
 
Haha mimi sijawahi kujiita engineer maana kama huna ule mhuri hakuna uinginia hapo..Wana mbwembwe ndio yale ya kujiita DR PCB then unapata IV.
Ni kweli kama huna mhuti wa ERB lakini kwa vijana wengi wamesajiriwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]True hapa nilipo nakaa na maengeneer wanafanya Kazi site Moja hivi muda wotee mabuti na maelement na makoti yao ya kung'aa Kama taa za barabarani
Maelement=helmets
 
Basi hatari. Daktari asiyeshika mkasi kufanya upasuaji isipokuwa vibarua ni hatari sana.
Ma engineer hawagusi uchafu wao wana design vibarua ndio wanaopiga kazi..huonagi wachina wanaojenga barabara kazi kushika kiuno na kuelekeza.
 
sio kweli kama umepita udsm unajua shobo wanazopata watu wa coet
 
Zamu yenu iliisha kipindi mko kidato cha sita kama pcm mlipendwa sana
 
Back
Top Bottom