Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Kwanini wahandisi hatupewi kipaumbele na wanawake?

Rais wetu anatupenda mainjinia maana anaamini inchi haiendelei bila sisi
 
Tatizo lipo kulingana na engineer meenyewe.
1.Electric engineer
Hawa tatizo lao hawajui kutomasa na hata wakijua vidole vyao vigumu na vinasugu kutokana na short na moto.
2. Mechanical Engineer
Hapa ndo Luna maboya usipime na hawa wanawake saiz yao ni Malaya wenye moyo WA kuvumilia ukomavu wao.
3.Civil engineer
Naeza watukana ila basi tu ,hawana makazi mikono imekomaa na mda wote wamechoka,wanapotoka na madem zao huwaangalia SAA zote na hupendelea kuwa nyuma,Mara nyingi wanayoyaongea sketch tu.
4.Software/computer engineer
We mdada utaeangukia kwa hawa jamaa sala zako zutakusaidia ,hawa na wale WA IT ni wapiga punyeto usipeme waangalie vizuri utaona shingo imepinda kulekea chini kidogo.
Jamaa wewe muongo mie mi mechanical eng. Na rafiki zangu wote mbona hatuko hivyo au unafurahisha kijiwe
 
Si mlikuwa mnavyo tuonewa binadamu wenzenu kwa kutuzidi marks darasani mnajitapa hamuwezi soma longolongo ,sasa mademu wanataka longolongo leta hela sio ma-calculas
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah! Hapo mwisho tu inaonekana jinsi gani haupendi hesabu
 
Ni career ambayo haina impact kubwa kwenye jamii za wabongo,kama mngekua na impact kubwa hata jamii ingekua inawatambua na kuanza zile soma uwe injinia mwanangu
 
katika field inayolipa zaidi engineering nayo imo, tena ni wenye hela sana these guys Engineers, maana project zao huwa haziwaachi patupu...Tatizo la professional engineer wanajiweka rough sana all the time wawe site au off site yani.... Sasa na dada zetu hawa wanapendaga mutu unayopiga pamba nyespesi kama mutu NYOSHI El SADAATA
 
Ni career ambayo haina impact kubwa kwenye jamii za wabongo,kama mngekua na impact kubwa hata jamii ingekua inawatambua na kuanza zile soma uwe injinia mwanangu
Maendeleo ya inchi yanatutegemea sisi kwa asilimia kubwa
 
Back
Top Bottom