Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo Safiii unakuwa kiben tenUsijekuwa kibibi gagula[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo Safiii unakuwa kiben tenUsijekuwa kibibi gagula[emoji1] [emoji1] [emoji1]
HahahhahSi mlikuwa mnavyo tuonewa binadamu wenzenu kwa kutuzidi marks darasani mnajitapa hamuwezi soma longolongo ,sasa mademu wanataka longolongo leta hela sio ma-calculas
Hapo sasa saa ngapi atabebishaWako busy sana na kusafiri safiri
Alafu wanajua kuvaa mabwanga na mabuti tuHapo sasa saa ngapi atabebisha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Uwe unatembea na vifaa vyako vya kazi uone ugumu unatokana na nn
Ha ha ha ha ha ha khaaaAlafu wanajua kuvaa mabwanga na mabuti tu
Upo Caspian nnSana jamani. Mnalipwa vizuri sana nyie watu au labda iwe ofisini kwetu tu ndo wanalipa engineers vizuri.
Wanasema vile viatu vinawaumiza wakienda sehem site au kutengeneza barabara wanataka msichana mrembo kuliko wotee mtaani ndo maana wanachukiwa na mademu wengineHa ha ha ha ha ha khaaa
Ha ha ha ha injinia viatu vinawaumiza lol hii mupyaWanasema vile viatu vinawaumiza wakienda sehem site au kutengeneza barabara wanataka msichana mrembo kuliko wotee mtaani ndo maana wanachukiwa na mademu wengine
Wewe Uliza tu watakwambia mm Nilidate na injinia anatembea na bisibisi kwenye koti alafu kitandani akimaliza mchezo anasema nimekimbia km 20 babyHa ha ha ha injinia viatu vinawaumiza lol hii mupya
Ha ha ha ha ha ha kwahyo anataka kupumzika...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe Uliza tu watakwambia mm Nilidate na injinia anatembea na bisibisi kwenye koti alafu kitandani akimaliza mchezo anasema nimekimbia km 20 baby
We hujui kwenye jamii kuna classes mkuu...Nimeona mara nyingi wanawake wakiwashobokea Waalimu, Madaktari, Wanasheria na baadhi ya watu wa career fulani fulani cha ajabu nimeona ma Engineer hatupewi priority wala kushobokewa na wanawake sasa swali linakuja hapa; kwanini nyinyi wanawake hamtushobokei sisi ma Engineer au kutupa kipaombele sawa na hao wengine?
Vibeni ten vya siku hizi tunabebeshwa majukumu ya wazazi wetu, mi stakii[emoji30][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo Safiii unakuwa kiben ten
Ndioo nikasema kuna siku nikikataa kutoa vyombo atanichoma bisibisi alafu wana wivu alafu hakunitongoza kabisa aliniita tu kwake akaniambia kuna issue nikamsaidie kuingia ndani akaanza kunipapasa nikamuonea huruma nikampa vyombo mainjinia bure kabisaaaa eti ukikata mauno anasema oooooh hun speed hiyo hiyo sipendi low voltage Khaaaaaaaaaa vituko kabisaHa ha ha ha ha ha kwahyo anataka kupumzika...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahahahhahaha mm kigori weweVibeni ten vya siku hizi tunabebeshwa majukumu ya wazazi wetu, mi stakii[emoji30]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] voltage ngapi anataka?Ndioo nikasema kuna siku nikikataa kutoa vyombo atanichoma bisibisi alafu wana wivu alafu hakunitongoza kabisa aliniita tu kwake akaniambia kuna issue nikamsaidie kuingia ndani akaanza kunipapasa nikamuonea huruma nikampa vyombo mainjinia bure kabisaaaa eti ukikata mauno anasema oooooh hun speed hiyo hiyo sipendi low voltage Khaaaaaaaaaa vituko kabisa
Mm mwenzio sayansi nilikimbia form 3 yeye ndo anajua anataka voltage ngapi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] voltage ngapi anataka?