HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongereni sana mlioitwa oral! Kikubwa fanya part yako then muachie Mungu nae afanye part yake!

Inshallah kila mmoja wetu atapata riziki kwa wakati wake!

Ngoja wengine tuendelee kulinda barabara kwa ujenzi wa Taifa.
 
Nakuelewa sana Mkuu, lakini kitu kikubwa cha kukumbuka ni kwenye wanaofanikiwa kwenda Oral kuna wengi umewazidi kila kitu, kasoro ni kwamba muda wao wa kufika oral umewadia.

Na inawezekana wengine wakaishia Oral ila wasipate ajira wala kuingia kwenye data base.

Sisemi nawaombea mabaya, bali ambacho nasema ni una kila sifa ya kuingia Oral na kupata kazi, kinachokosekana ni muda wako haujafika.

Maneno yanayofanana na haya tuliwaambia wengine humu ambao walionyesha kukata tamaa, ila kwa sasa wamesharipoti vituo vya kazi.

Usikate tamaa.
Mojawapo mimi niliambiwa maneno haya tena na huyu HS CODE pamoja na wengine

Nakala kwa punje haradari
 
Kwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
Mkuu pole sana.

Umefanya written ngapi hadi sasa?
 
Watu 1,769 kuajiriwa kutoka kanzidata Februari hii-Jenista Mhagama
Screenshot_20230208-193201.jpg
 
Back
Top Bottom