HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haha Mkeka mrefu kiaje kama mchujo ulifanyika kwenh Written.
Halafu nafasi zenyewe ni moja moja kwa kila kada
emoji23.png
emoji23.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
Yaani unajumuisha taasisi nyingi ambazo zimefanya usaili wa mahojiano katika tarehe hiyo kwa hiyo mtavyoitwa kazini ni waliofanya usaili kuanzia tarhe 19 hadi 27 mei
 
Back
Top Bottom