Nsombas
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 294
- 456
Asante sana mkuu. Siku njema kwako pia inakaribia. Nakuombea Mungu akukumbuke wewe pia.Hongera sana I wish niwe ww.
Asante sana mkuu. Siku njema kwako pia inakaribia. Nakuombea Mungu akukumbuke wewe pia.Hongera sana I wish niwe ww.
Afu nadhani wengi ili swali waliingia mkengeNdio ile ya accounts officer ii mliyokua mnabishania humu kuhusu elements of financial statements na mheshimiwa Orosso?
Mbona me sion ratiba jamanIngia kwenye account yako wameweka Kila kitu mkuu
Anha hapo sawa
Asante kaka sijajua wanataka ujibuje aniPole sana mkuu at the end maisha lazima yaendelee no mara whaaaa!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Amen nakutakia Kila la kheri ukafanikiwe atua inayo kuja.Asante sana mkuu. Siku njema kwako pia inakaribia. Nakuombea Mungu akukumbuke wewe pia.
Amen! Asante sana mkuu.Amen nakutakia Kila la kheri ukafanikiwe atua inayo kuja.
Ipo apo kwenye account yako ukiona kwenye simu huoni ingia kwa pc, hongera sana.Mbona me sion ratiba jaman
Ndo nmeiona mkuu,thanksIpo apo kwenye account yako ukiona kwenye simu huoni ingia kwa pc, hongera sana.
Hongera mkuu, hapo ni umepita kwenda oral.Wakuu, wale wa MDAs na LGAs interview za tr15 January, hebu ingieni kwenye App. PDF haijatoka lakini nimekuta hii kwangu. Naendelea kusubiri PDF. Mungu anijaalie iwe hivi.View attachment 2510000
Pamoja na kupita written nataman nijue nmepata marks ngapi,mana kwa nilivojibu ni YESU tu kanitendea miujiza kiumbe wake nikaonje oral for the first time[emoji120].
Asante boss.Hongera sana, Pdf watatoa muda wowote na siku ya leo inaweza isipite.
Asante sana mkuu. Mungu ni mwema sana.Hongera mkuu, hapo ni umepita kwenda oral.
Ratiba isikupe Guarantee km Status haijachange kuwa Selected for Oral(Mara nying Ratiba uwaga inatoka yote Written na Oral trh zake zinakuwa zinatambulika ukishakuwa Shortlisted) Jitahid kusubiri Sometimes Piah inaweza kutokea Status ikaonyesha Not Selected wkt kwny PDF ya Matokeo upo kwny Selected line (Incase ikitokea hiv wai kutoa taarifa Utumish kabla ya Oral)Wakuu, wale wa MDAs na LGAs interview za tr15 January, hebu ingieni kwenye App. PDF haijatoka lakini nimekuta hii kwangu. Naendelea kusubiri PDF. Mungu anijaalie iwe hivi.View attachment 2510000
Ndugu mimi toka 2018 nimekuwa naomba na naishia kupata marks hizo za 49 sikuwahi kupita kwenda oral toka mwaka huo mpaka mwaka jana mwishoni nilipoingia oral ya TRA ambayo ndo ilikuwa ya kwanza kwangu(imagine toka 2018 hadi 2022) na sikuwahi kukata tamaa, nikiitwa naenda na silalamiki hata nikikosa, niliamini wakati wangu bado. Hizi za MDA nimezifanya pasipo kujisomea maana nilikuwa sijui nisome nini, ila kwa knowledge niliweza kujibu na Mungu mwema zote nimeitwa oral. Imagine toka 2018 sijawahi kuitwa ila ndani ya miezi miwili nimeitwa oral tatu. Amini wakati wa Mungu ni wakati sahihiDaaah! Same situation hapa hivi wanaokuwa selected wanafanyaje Aloooh