smurof
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 103
- 293
Huu mwezi hauishii inaweza kuwa suprise yako ya valentino 😅Nasubiri tu PDF, hawa jamaa kuna ile "suprise" hasa ukiwa umejipa uhakika wa kutokea katika pdf.
Huu mwezi hauishii inaweza kuwa suprise yako ya valentino 😅Nasubiri tu PDF, hawa jamaa kuna ile "suprise" hasa ukiwa umejipa uhakika wa kutokea katika pdf.
Thank u dearHongera sana, all the best dear
Ndio vizuri, hutakiwi kueleweka hata huko mitaani tunakoishi.We mzee vipengele vingi, kuaminika inakua issue sometimes.
Inategemea, sisi tuliingia kuendana na marks za writtenSiyo kweli, oral wanaingia kwa wewe kutaka ue wa ngapi, unaweza ukasema nataka kua wa 3,4,5 etc....wa kwanza kukabidhi simu anakua wa kwanza na kuendelea
Opposite na saba saba stend/ soko..MDA ilikua interview yangu ya 3 na utumishi finally nimekua selected Oral post ya Mtakwimu, Dodoma sekondari ipo wapi ndugu zangu?
Kwa watakwimu waliofika oral kipindi cha nyuma tupeni hints kidogo interview zinatokaje jaman
Kwa watakwimu waliofika oral kipindi cha nyuma tupeni hints kidogo interview
Opposite na saba saba stend/ soko..
Ipo pale sabasaba ndugu yangu maeneo ya makole, ile sehemu ya kuingilia sabasaba gari zinapoingilia imetazamana na geti la shule ukifika tu hapo unaiona shule week iliopita tulikuwa pale na usaili.MDA ilikua interview yangu ya 3 na utumishi finally nimekua selected Oral post ya Mtakwimu, Dodoma sekondari ipo wapi ndugu zangu?
it depends, juzi udsm ilikua aliesaini wa kwanza ndo anaitwa wa kwanzawanaendaga kwa mtiririko wa marks, descending order. mwenye marks kubwa anaanza hadi ndogo . matokeo ya written yanatumika mule..
Asante sana madam proud of youNyote mliokuwa selected for oral hongereni sana sana. Mungu awe nanyi na awajaalie kupata kazi. Jiandaeni vyema pia. Muwe na jioni njema, siku hizi nakuta message nyingi nashindwa kusoma kumpongeza kila mtu[emoji4]
Hongera,ipo karibu na Soko la sababa,jirani kabisa.MDA ilikua interview yangu ya 3 na utumishi finally nimekua selected Oral post ya Mtakwimu, Dodoma sekondari ipo wapi ndugu zang
overtiming [emoji23]Habari zenu...leo naomba tu share hili swali na majibu yake... Challenge ambazo utakutana nazo endapo ukiajiriwa....share tu point,I hope nyingi zitaingiliana
[emoji23][emoji23][emoji23]Ungepata lile swali ungepiga 100%, jus kiddin bro[emoji2957]
Tusikate tamaa, mapambano yaendelee.
Kapdf kamchongo sana haka.Placement za leo 7th February 2023
Kwa mfano leo ameleta picha ya jengo la ukaguzi Dom kuonyesha yuko dom .. Ile picha kwa sisi tuliobobea kwenye forensic investigation inaonyesha haijapigwa na simu yakeWe mzee vipengele vingi, kuaminika inakua issue sometimes.
Yes tayari chungulia pale kwenye placements au mwambie mtumishi mpya wa HeslbHiv heslb kumbe ilitoka?
Utaacha mwenyewe automatically siku ukiona jina lako kwenye placementWazee nipeni mbinu za kuacha kufatilia huu uzi na Web ya psrs naona nshakua addicted
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app