Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Duuuuh pole sana kaka, but kukata tamaa sio suruhisho kwenye maisha yetu, kumbuka ku fail ni mafanikio yaliyopo kwenye mchakato, na pia inatakiwa ujue wakati wako utafika na utafurahia.Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Tuendelee kupambana na tusikate tamaa kujaribu tena pale panapo majaliwa na nafasi zitakapo tangazwa tena. Uwenda Kuna nafasi yako nzuri sana inakuja. May Almighty God grant us blessings [emoji120].