HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu na mimi naingia oral kwa mara ya kwanza, sema nafasi ni moja, hii ne green light kwangu kwa mwaka huu.

Pia niwatie moyo wale ambao wanasema utumishi hawasaishi pepa, nilifanya pepa ya UDSM hizi za juzi kati, na mimi pia nilijibu vizuri tu.

Nilipokuja jifanyia tathmini baada ya pepa niligundua maswali mawili sikuyajibu vizuri, hivyo yale malalamishi yangu ya awali kwa Sekretarieti ya Ajira juu ya usahaishaji nimeyafuta.

Hii oral yangu ya kwanza, kwakweli pepa yake ya written nilifanya vizuri na nilijua lazima nizame oral na imekuwa hivyo, ngoja nikapambanie hiyo nafasi moja.

Wakuu msikate tamaa.
View attachment 2510162
Kila la heri na tukutakie maandalizi mema. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inafanya kazi kwa Uwazi na Weledi kwa kuzingatia Sheria, taratibu na kanuni.
 
Hivi huwa hamuzionagi zile Re-advertise?

Tunaziona mkuu sana, na mara nying Huwa ni post za teaching, ila Kwa hzi non teaching Huwa sio big deal.

Hata mwaka Jana watu wa TMO karibu wote walichukuliwa sababu ya uhitaji wa haraka. Kuna baadhi wamekiri kabisa oral walizingua lkn pdf linatoka wamo.
 
Basi hawana utaratibu maalumu. Mara mbili nimeona mtu akakaguliwa ndio anajisajili ktk karatasi ambayo ndio itatumika kuwaita.
Mr.. majina Huwa wanakuwanayo pale tena yapo kwa mpangilio.. Sasa issu ni kwamba kwa kutaka kuondoa mkanganyika wa watu kujisajiri ovyoovyo kwenye karatasi mpya Huwa wanaita kwa mlolongo uleule wa marks,, so wa kwanza ataanza
 
Nyote mliokuwa selected for oral hongereni sana sana. Mungu awe nanyi na awajaalie kupata kazi. Jiandaeni vyema pia. Muwe na jioni njema, siku hizi nakuta message nyingi nashindwa kusoma kumpongeza kila mtu[emoji4]
Nimeingia humu saa kumi na moja jioni nikakuta rundo la comments, nikaanza kuzisoma kila mmoja hadi muda huu bado sijamaliza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

NB: Nalazimika kupitia kila comment ili ile ninayoweza kuitolea muongozo/ufafanuzi nifanye hivyo
 
Mr.. majina Huwa wanakuwanayo pale tena yapo kwa mpangilio.. Sasa issu ni kwamba kwa kutaka kuondoa mkanganyika wa watu kujisajiri ovyoovyo kwenye karatasi mpya Huwa wanaita kwa mlolongo uleule wa marks,, so wa kwanza ataanza

Sijabisha mkuu,

Kwa oral nilizofanya mm walitumia huo muundo niliofafanua hapo juu.

Ndio maana nikasema, pengine hawana utaratibu maalumu.
 
wakuu taarifa njema hii
 

Attachments

  • Screenshot_20230208-204133.png
    Screenshot_20230208-204133.png
    216.6 KB · Views: 26
Tupia screenshot mkuu ya Selected For Oral Interview ili wajue we level nyingine.
Acha hizo bro,. We huoni utofauti wa "hawa" wa heslb, wake wengine kila hatua walikua wana-tu-update humu, kwamba wamefika mjengoni, wamejaza fom za kujaza, na kusubiri 📲📞 za waajiri, kuripoti job.

Hawa wa sasa wameshuhudia tu "wamo" katika pdf. Hawa wameshazoea, kutokea katika pdf ni kitu cha kawaida😂🤣
 
wakuu taarifa njema hii
hii itakuwa ni nzur.. naamin database inawataalam wengi, kuliko utumishi kufanya re-advertisement , waajiri waliopo kwenye database. mfano technologist phamacy II na Assistant nursing officer ANO naamin wapo database. ila naona leo wametoa re-advertisement ila utakuta hao wataalam wa hizo kada wapo kanzidata wengi
 
Sijabisha mkuu,

Kwa oral nilizofanya mm walitumua huo muundo nilifafanua hapo juu.

Ndio maana nikasema, pengine hawana utaratibu maalumu.
Humu inaweza ikawa, wenzetu wa zile sahili za watu wachache, zile mfano mnajikuta mpo saba/nane kwa nafasi mbili, au zile watu watatu/watano kwa nafasi moja huwa wanajuana sana au wanaambiana/kushirikishana alama zao walizopata kwa written. Ita tu, katika hali ya kawaida ji ngumu kujua hapa wamefata trend fulani kwa sababu ya matokeo ya written ni ngumu kukiri hivo.
 
Hatukatai michakato kuendeshwa haraka ila mianya inayoweza kuchipuka ndio itakuwa kikwazo kwa baadhi yetu.

PSRS wako fair kwa asilimia kubwa hata kama wanakumbwa na ucheleweshaji wa michakato.

Taasisi au mashirika ya kiserikali yakipewa jukumu la wao kufanya michakato itakuwa kichomi kwa walalahoi/wasio na koneksheni.

Nimewaza hivi, je wadau mna maoni gani juu ya mawazo yangu haya?

Ni sahihi mkuu,

Na hii ndio sababu kuu ya PSRS kusimamia mchakato wote wa Ajira Serikalini ili kuweka usawa na kuepukana na nafasi za kupeana.

Kama kutakuwa na uwezekano taasisi zote za umma ziwe chini ya Utumishi ktk issue ya kuajili ili watu wapate Ajira Kwa haki.
 
Back
Top Bottom