HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ratiba isikupe Guarantee km Status haijachange kuwa Selected for Oral(Mara nying Ratiba uwaga inatoka yote Written na Oral trh zake zinakuwa zinatambulika ukishakuwa Shortlisted) Jitahid kusubiri Sometimes Piah inaweza kutokea Status ikaonyesha Not Selected wkt kwny PDF ya Matokeo upo kwny Selected line (Incase ikitokea hiv wai kutoa taarifa Utumish kabla ya Oral)
Asante sana mkuu. Lakini pia hata kwenye website imeshabadilika na kuonesha kama inavoonekana kwenye App kwamba Selected for Oral interview.
 
Kwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
 
Wakuu, hapa vipi, hapo siyo oral ni written hiyo.

Hii ni ndoige tayari?
20230208_085608.jpg
 
Kwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
Utumishi wanashihisha mitihani Mkuu, saa nyingine huwa tunahisi tumejibu mitihani lakini hatutoi majawabu sahihi.
 
Kwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
Ulifanya mtihani wa kada gani ?
 
Back
Top Bottom