Hongera mkuu , pdf ya watu wote kwenye web imeshatoka ?Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Hongera mkuu , pdf ya watu wote kwenye web imeshatoka ?Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
AsanteHongera mkuu , pdf ya watu wote kwenye web imeshatoka ?
Your Databank has expired. Ndicho kinachofuataHapa nini kinafuata maana oral ilifanywa tangu Septemba mwanzoni. View attachment 3687137
hamna huyuuu lazima awe ashalambaa shavuuu mzeeeeYour Databank has expired. Ndicho kinachofuata
Kuna uzi nimeuona unazungumziq ajira mpya za tanesco kuna mdau kafanunua kuwa kada ufundi (technicians) nafasi kwa sababu ni ngumu kupata watu wa kujitolea kuliko kada ya biashara mambayo wengi huenda kwa kujitolea tu!Tanesco hatimae wametoa nafasi za kazi kule utumishi
Swali Kada ya biashara hamna nafasi je wameshindwa kutoa kwasababu kunawatu wengi wapo kwenye databank?
Daah inakatisha sana tamaa nafasi za kujitolea wakati watu tupo databank.aisee shida sanaKuna uzi nimeuona unazungumziq ajira mpya za tanesco kuna mdau kafanunua kuwa kada ufundi (technicians) nafasi kwa sababu ni ngumu kupata watu wa kujitolea kuliko kada ya biashara mambayo wengi huenda kwa kujitolea tu!
Hongera sana Official plannerNiko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Asante sanaHongera sana Official planner
Karibu kwenye utumishi wa umma
Week hiiHuo mda wake bado😃😃 zikifika tarehe fulani lazima ukiingia ukitoka uzi upo trending
DaaahHAMNA KAKA HIIIIII WANAKUPAAAA KUWA NA IMANIIII
Naona umeanza kazi na perdiem za kutosha hongera taasisi yenu iko vizuriKaribu sana mkuu,serikalini patamu asee,nina week 2 tu ila tayari nishalamba 2.2m.