HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Inaumiza sana tena sana, unaweza hisi kuna kitu umemkosea muumba.
Kweli kabisa hauko peke yako tupo wengi bora nyinyi huko wenye digrii angalau kazi zinatangwaza huku kwenye kada yetu ya ufundi zinatoka chache mno lakini haina kukata tamaa mpaka kieleweke kushindwa ni dalili ya kushinda kukata tamaa ni dalili ya kushindwa
 
Wakuu, wale wa MDAs na LGAs interview za tr15 January, hebu ingieni kwenye App. PDF haijatoka lakini nimekuta hii kwangu. Naendelea kusubiri PDF. Mungu anijaalie iwe hivi.
Screenshot_20230208-075022.jpg
 
Back
Top Bottom