mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Imani lazima ujipe,Imani ndio Ushindi😂...imani yko ndio itakayo kuponya[emoji2]
hapana hiyo sikuhusika kabisa mkuu,Imani lazima ujipe,Imani ndio Ushindi[emoji23]...
Placement ya Leo umebahatika?
Oohhh nawe ni zile za November Mwishoni kumbe...hapana hiyo sikuhusika kabisa mkuu,
Same to me kwenye status hamna kitu/taarifa yoyoteNilifanya oral tu. Ni akaunti yangu.
Kama washaanza kuweka huko kwenye account basi usiku huu wataanza kutupia mikeka tu dadeq..Nasikia MDA afisa hesabu tayari kwenye accnt zao
yapOohhh nawe ni zile za November Mwishoni kumbe...
mmmmmh, hii March pple kazini lazima
Wale wa TRA pateni a,b,c,d zenu hapo
Akamatwe ahojiweIlo ndy la Msing nimeshanga sn Interview Ambayo haina Practical Leo nimekuwa Selected for Practical [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwenyew Jukumu la Upande wa Status huko PSRS achunguzwe
Nasikia MDA afisa hesabu tayari kwenye accnt zao
Basi tuendelee kuvuta Subra wote.
kabisa aisee mungu mwema atafanya jamboBasi tuendelee kuvuta Subra wote.
Kada ipi mkuu?Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Afisa hesabu mkuu.Kada ipi mkuu?
ni za contract ya mwaka mmoja mkuuTuwapongeze in advance watakaolamba buyu la asali la WCF. Aise wale watu wanlipana vizuri bwana🫡