HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
Mkuu kutokuchaguliwa kwenda written hakumaanishi kuwa umepata chini ya 50.
Unaweza kuwa juu ya 50 lakini usichaguliwe sababu unakuta waliofaulu ni wengi kiasi Cha kwamba wamekatia alama za juu ata 70 Ili kupata ratio ya 1:3 kwa watakaingia oral.
 
Mbona hawatoi pdf ya marks zetu tuone tulichopata.
 
KWA KUWA, Mashirika ya umma yanayojiendesha kibiashara yanakabiliwa na changamoto ya upungufu wa watumishi katika kujiendesha kwake kutokana na kutegemea mchakato wa ajira unaoendeshwa na Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma katika kupata watumishi;
NA KWA KUWA, Changamoto hiyo inaathiri tija ya uwekezaji na manufaa yaliyotarajiwa kupatikana, kutokana na kukosa watumishi wanaostahili kwa wakati hata pale ambapo Shirika la Umma linapokuwa na uwezo wa mapato wa kuwalipa mishahara
KWA HIYO BASI, Bunge linaazimia kwamba, Serikali iweke utaratibu maalumu wa kutoa vibali kwa taasisi zinazojiendesha kibiashara ili ziweze kuajiri zenyewe ajira za moja kwa moja na kuweza kuendena na soko la ushindani wa kibiashara.

from kamati ya bunge hapo jana
 
Back
Top Bottom