TUnique
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 287
- 665
marks za writtenHivi oral hua wanaingia kimarks,kiherufi au aliewahi kufika?
marks za writtenHivi oral hua wanaingia kimarks,kiherufi au aliewahi kufika?
Ooh okay,asantemarks za written
Sijajua kwa wengine...ila sisi ilikua aliyewahi kuandika jina kwenye list basi ndio wanafuata hiyo. Na kama mtu ana special case either mgonjwa/ananyonyesha/mlemavu anapewa kipaumbele afanye awahi kutokamarks za written
Oooh sawaSijajua kwa wengine...ila sisi ilikua aliyewahi kuandika jina kwenye list basi ndio wanafuata hiyo. Na kama mtu ana special case either mgonjwa/ananyonyesha/mlemavu anapewa kipaumbele afanye awahi kutoka
Unaweza hata kuwaomba wenzio uingie wa kwanza kama una private concern
Suala la marks za written linaishia kwenye pdf ya matokeo tu. Pale Asha Rose Migiro mnaanza upya. Vivyo hivyo alphabetical order haihusiani hapa
wanaendaga kwa mtiririko wa marks, descending order. mwenye marks kubwa anaanza hadi ndogo . matokeo ya written yanatumika mule..Sijajua kwa wengine...ila sisi ilikua aliyewahi kuandika jina kwenye list basi ndio wanafuata hiyo. Na kama mtu ana special case either mgonjwa/ananyonyesha/mlemavu anapewa kipaumbele afanye awahi kutoka
Unaweza hata kuwaomba wenzio uingie wa kwanza kama una private concern
Suala la marks za written linaishia kwenye pdf ya matokeo tu. Pale Asha Rose Migiro mnaanza upya. Vivyo hivyo alphabetical order haihusiani hapa
Na hii hujapata selected mkuu?Mkaguzi wa ndani MDA & LGAView attachment 2510463
Siyo kweli, oral wanaingia kwa wewe kutaka ue wa ngapi, unaweza ukasema nataka kua wa 3,4,5 etc....wa kwanza kukabidhi simu anakua wa kwanza na kuendeleamarks za written
Wanaangalia Marks za Written ila pia wanaeza wakagawa makundi inategemea na idadi.Hivi oral hua wanaingia kimarks,kiherufi au aliewahi kufika?
Mkuu naona una moto wa hatri ukikosa ww unaweza kuzimia 🤣Pdf ya mamlaka ya mapato ndo habari ya mjini watu wanasubiria haswaaa. Jamaa mmoja alisikika akisema jina likitoka leo kesho yupo Dodoma kuchukua barua
Hahah huyu jamaa hatakiwi kuweka bando kabisaMkuu naona una moto wa hatri ukikosa ww unaweza kuzimia [emoji1787]
hapana mkuu. tumetoka oral juzi wameita kwa marks luteni. ilikua post za wizara tumepigia dodoma sekondariSiyo kweli, oral wanaingia kwa wewe kutaka ue wa ngapi, unaweza ukasema nataka kua wa 3,4,5 etc....wa kwanza kukabidhi simu anakua wa kwanza na kuendelea
Uzi mzuri.Leteni lonja makamandahapana mkuu. tumetoka oral juzi wameita kwa marks luteni. ilikua post za wizara tumepigia dodoma sekondari
mkuuuFebruary
Uzi mzuri.Leteni lonja makamanda
Kaka nilikwambia hua nakosa marks moja au nusu mark, kwenye TRA nilipata 49.5I feel you kaka situation unayopitia, unaweza kujiona kama hauna bahati, una mikosi na kujiuliza why always me..!? . But trust to the Almighty God, and believe the future is excited. Mungu anaona mapambano na jitihada zako. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Mungu hatupi tunachotaka ila anatupa tunachostahili. Leo yetu inawezekana hatujapata tunachotaka lakini kesho yetu tukapata tunachostahili [emoji120]🫂.
Aisee pole sana mkuuKaka nilikwambia hua nakosa marks moja au nusu mark, kwenye TRA nilipata 49.5
Hebu angalia Acc Officer, nimepata marks 75 halafu wakanzia kuchukua 76
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]View attachment 2510529View attachment 2510530